Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Trump: Amkejeli mwandishi habari mlemavu

Muaniaji kiti cha urais wa chama cha Republican Donald Trump amezua mjadala mkali baada yake kumkejeli mwandishi habari mlemavu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Donald Trump akanusha kukejeli mlemavu

Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump, amekanusha kukejeli ulemavu wa viungo vya mwili.

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Matinyi akisoma...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandishi wa habari afariki

Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mtandao wa Mwanahalisi Online, Edson Kamukara amefariki dunia jana jioni baada ya kuungua moto, nyumbani kwake Mabibo, Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auwawa Mogadishu

Mwandishi wa habari kijana amekufa baada ya bomu lilotegwa chini ya gari lake kuripuka katika mji mkuu

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi habari ashtakiwa Angola

Mwandishi habari mashuhuri amefikishwa mahakamani nchini Angola kwa madai ya kuwaharibia watu mashuhuri majina.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa Habari auawa Syria

Mwandishi habari mwenye asili ya Marekani auawa nchini Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Somalia

Mwandishi mmoja wa habari wa kike ameaga dunia baada ya bomu kulipuka chini ya gari lake katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Pakistan

Watu wenye silaha wamemuua kwa kumpiga risasi mwandish maarufu wa habari katika mji wa Karachi.

 

5 years ago

CCM Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani