TRUMP AZUIA SAFARI KUTOKA ULAYA KWENDA MAREKANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-0XN1gWrpeBM/XmnsKbjMXDI/AAAAAAAC0wY/ogq6TEmLMHsFGX-4UudcjK78bxe9QNbNgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitishwa kwa safari za ndege kutoka nchini humo hadi barani Ulaya kama mbinu ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Trump amesema, marufuku hayo yatatekelezwa kwa muda wa siku 30 zijazo kuazia siku ya Ijumaa lakini hatua hii haitaithiri Ireland na Uingereza, ambayo ina maambukizi 460.
"Ili kuzuia visa vipya maambukizi ya Covid-19 kuingia katika nchi yetu, nitazuia safari zote kutoka Ulaya hadi Marekani kwa siku 30 zijazo," amesema rais...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Coronavirus: Trump azuia safari za kutoka Ulaya kuingia nchini Marekani
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-rPYlJPuBRAE/VRWaSpx1mwI/AAAAAAABpvU/YS9SYgVkprE/s72-c/a1.jpg)
FASTJET YAZINDUA SAFARI MPYA KUTOKA KILIMANJARO KWENDA MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-rPYlJPuBRAE/VRWaSpx1mwI/AAAAAAABpvU/YS9SYgVkprE/s640/a1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cmZSxa5d9Fk/VRWaZKqLn8I/AAAAAAABpvc/FwNL8fwRLC0/s640/2.jpg)
10 years ago
GPLSAFARI YA MWISHO YA ABDUL BONGE ILIVYOKUWA KUTOKA DAR KWENDA MORO
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Fastjet yatangaza safari za kila siku kwenda Zanzibar kutoka Dar
Kampuni ya ndege ya gharama nafuu barani Afrika, fastjet imetangaza safari zake za kila siku kwenda Zanzibar kutoka Dar es Salaam zitakazoanza tarehe 16, Januari 2016.
Huduma hii ambayo itaanza mara moja ni matokeo ya maombi ya abiria na makampuni yanayotoa huduma kwa watalii ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakidai huduma hiyo ili kuimarisha soko la ndani.
Huduma za usafiri kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere wa Dar es Salaam na ule wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar...
10 years ago
Vijimambo20 Jul
MSAADA WA USAFIRISHAJI WA VIFAA VYA KIJAMII KUTOKA WASHINGTON, SEATTLE MAREKANI KWENDA ZANZIBAR
![](http://pimg.tradeindia.com/02112047/b/1/10x10-Used-Empty-Container.jpg)
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu mbele yenu kuandika mada yangu tukufu kama ilivyotanjwa hapo juu.
Kwa niaba yangu binafsi, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla waliopo hapa Washington State na Nchini Marekani napenda kutumia nafasi ya kutoa maelezo ya vifaa vilivyopo hivi sasa katika Storage zetu kwa hatua kuvisafirisha kutoka Bandari ya Seattle hadi Zanzibar.
Vifaa hivi vimekusanywa na mimi kwa mashirikiano wafadhili mbali mbali waliojitolea kwa ajili ya kusaidia juhudi za...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Mkuu wa wilaya azuia safari za madiwani
NA RAMADHAN HASSAN, KONGWA
MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Bitun Msangi, ametangaza kufuta ziara za mafunzo kwa madiwani wa halmashauri hiyo na badala yake amewataka waende kujifunza vijijini.
Onyo hilo amelitoa juzi, wilayani hapa alipokuwa akizungumza na wananchi wa vijiji vya Mseta, Manhweta na Mseta Bondeni Kata ya Chamkoroma, wakati akikabidhi vyeti na kombe kwa wananchi waliofanya vizuri katika utunzaji wa mazingira ikiwamo ujengaji wa vyoo vya kisasa .
Alisema badala ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JXAUIgTHQRE/Xq_2ejQ7rLI/AAAAAAALpBU/wQEbcsaCJB06kXO-xON89cNnwxhmP72qwCLcBGAsYHQ/s72-c/RPC%252BMbeya.jpg)
KAMANDA MATEI,AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA STENDI, AZUIA SAFARI KWA BAADHI YA MABASI YA ABIRIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-JXAUIgTHQRE/Xq_2ejQ7rLI/AAAAAAALpBU/wQEbcsaCJB06kXO-xON89cNnwxhmP72qwCLcBGAsYHQ/s640/RPC%252BMbeya.jpg)
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za usajili...
10 years ago
Mtanzania22 Jan
JK azuia mawaziri kutoka nje ya Dar
Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam
MAWAZIRI wote wamezuiwa kusafiri kikazi nje ya Jiji la Dar es Salaam kutokana na kile kinachoelezwa ni maandalizi ya kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya ambao wanatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa hizo zimekuja siku moja tu tangu Ikulu kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salvatory Rweyemamu, kuwataka Watanzania kuwa na subira kwa kuwa Rais Jakaya Kikwete wakati wowote kuanzia sasa atatoa uamuzi dhidi ya tuhuma...
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Donald Trump kuwania urais Marekani