Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa wilaya azuia safari za madiwani

makabidhiano ofisiNA RAMADHAN HASSAN, KONGWA

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma,  Bitun Msangi,  ametangaza kufuta ziara za mafunzo kwa madiwani wa halmashauri hiyo na badala yake amewataka waende kujifunza vijijini.

Onyo hilo amelitoa juzi, wilayani hapa alipokuwa akizungumza na wananchi wa vijiji vya Mseta, Manhweta na Mseta Bondeni Kata ya Chamkoroma, wakati akikabidhi vyeti na kombe kwa wananchi waliofanya vizuri katika utunzaji wa mazingira ikiwamo ujengaji wa vyoo vya kisasa .

Alisema badala ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TRUMP AZUIA SAFARI KUTOKA ULAYA KWENDA MAREKANI

  Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitishwa kwa safari za ndege kutoka nchini humo hadi barani Ulaya kama mbinu ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Trump amesema, marufuku hayo yatatekelezwa kwa muda wa siku 30 zijazo kuazia siku ya Ijumaa lakini hatua hii haitaithiri Ireland na Uingereza, ambayo ina maambukizi 460.
"Ili kuzuia visa vipya maambukizi ya Covid-19 kuingia katika nchi yetu, nitazuia safari zote kutoka Ulaya hadi Marekani kwa siku 30 zijazo," amesema rais...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Trump azuia safari za kutoka Ulaya kuingia nchini Marekani

Safari za ndege isipokuwa za kutoka Uingereza pekee zitazuiwa kwa kipindi cha siku 30 , rais ameeleza.

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA MATEI,AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA STENDI, AZUIA SAFARI KWA BAADHI YA MABASI YA ABIRIA

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matai, leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari kwenda mikoa mbalimbali kabla ya kuanza safari kwa lengo la kuangalia usalama wa vyombo hivyo vya usafiri pamoja na kujiridhisha na usimamizi na utekelezaji wa maelekezo yake kwa wakaguzi wa magari waliopo Stendi Kuu.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za usajili...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA HAI AAINISHA MAAFA YA WILAYA yake, AOMBA MISAADA YA HALI NA MALI

Wapendwa tunahitaji misaada yenu ya hali na mali.Hali halisi ndiyo kama mtakavyoisoma katika hii taarifa kwa ufafanuzi wowote waweza kuwasiliana nami kwa njia hii ama simu yangu +255 713682268 Regards Novatus Makunga Mkuu wa Wilaya ya Hai,  Kilimanjaro

 

5 years ago

Michuzi

CCM WILAYA YA ILALA YAVUNA MADIWANI SITA WA CHADEMA

 Aliyekuwa Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Kata ya Segerea Edwin Mwakatobe  akikabidhi kadi ya CHADEMA jana  19/2020 kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma  (PICHA NA HERI SHAABAN)
Wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Ilala wakifatilia kikao cha Kamati ya siasa Juni 19/2020(PICHA NA HERI SHAAABAN)
 Na Heri Shaaban

CHAMA CHA Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala kimepokea waliokuwa madiwani sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)TLP na ACT katika kikao...

 

9 years ago

Michuzi

RC DODOMA AZINDUA BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA KONGWA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mhe. Chiku Gallawa (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na madiwani wapya wa Baraza la Halmashauri ya wilaya Kongwa wakati wa uzinduzi wa baraza hilo mapema wiki hii. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa baraza jipya la madiwani la hamashauri ya Wilaya Kongwa mapema wiki hii, Mhe. Gallawa alisisitiza kuongeza mapato ya halmashauri na kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Sehemu ya Watendaji na Madiwani wapya...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Magufuli akutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

Na Richard Bagolele,Chato
Mbunge wa jimbo la Chato na waziri wa Ujenzi Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwenye ukumbi wa Halamshauri na kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 80 za mfuko wa Jimbo kwa kila kata kwa style mpya ambapo kila diwani ametaja mahitaji yake na kupewa kiasi hicho kwa ajili ya kukamilisha miradi yenye nguvu za wa wananchi.
Tofauti na miaka mingine ambapo fedha hizo zimekuwa zikitolewa na kamati maalumu...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo, Jumatatu, Mei 25, 2015. Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa Wilaya mbali mbali nchini. Katika mabadiliko hayo, Rais Kikwete amemhamisha Luteni Edward Ole Lenga kutoka Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida kwenda kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa, Mkoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani