Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Trump azuia safari za kutoka Ulaya kuingia nchini Marekani

Safari za ndege isipokuwa za kutoka Uingereza pekee zitazuiwa kwa kipindi cha siku 30 , rais ameeleza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TRUMP AZUIA SAFARI KUTOKA ULAYA KWENDA MAREKANI

  Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitishwa kwa safari za ndege kutoka nchini humo hadi barani Ulaya kama mbinu ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Trump amesema, marufuku hayo yatatekelezwa kwa muda wa siku 30 zijazo kuazia siku ya Ijumaa lakini hatua hii haitaithiri Ireland na Uingereza, ambayo ina maambukizi 460.
"Ili kuzuia visa vipya maambukizi ya Covid-19 kuingia katika nchi yetu, nitazuia safari zote kutoka Ulaya hadi Marekani kwa siku 30 zijazo," amesema rais...

 

9 years ago

Michuzi

Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo. Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump ataka Waislamu wazuiwe kuingia Marekani

Mgombea mtarajiwa wa urais kupitia chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump ametaka Waislamu kuzuiwa kuingia Marekani kwa muda.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Madai sita ya Trump kuhusu virusi vya corona Marekani yahakikiwa

Rais wa Marekani amehoji data za WHO na kijisifia jinsi alivyopunguza viwango vya maambukizi. Je anasema ukweli?

 

10 years ago

Michuzi

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.


  Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya leaders Club,jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014,ambalo hufanyika kila mwaka mara moja,chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Lts sambamba na Clouds Media Group.. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Mkuu wa wilaya azuia safari za madiwani

makabidhiano ofisiNA RAMADHAN HASSAN, KONGWA

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma,  Bitun Msangi,  ametangaza kufuta ziara za mafunzo kwa madiwani wa halmashauri hiyo na badala yake amewataka waende kujifunza vijijini.

Onyo hilo amelitoa juzi, wilayani hapa alipokuwa akizungumza na wananchi wa vijiji vya Mseta, Manhweta na Mseta Bondeni Kata ya Chamkoroma, wakati akikabidhi vyeti na kombe kwa wananchi waliofanya vizuri katika utunzaji wa mazingira ikiwamo ujengaji wa vyoo vya kisasa .

Alisema badala ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Uhamiaji wa nchini Marekani kusitishwa kutokana na janga la corona, asema Trump

Marekani ina jumla ya wagonjwa wa corona 782,159 na vifo 41,816 kutokana na virusi hivyo.

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA MATEI,AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA STENDI, AZUIA SAFARI KWA BAADHI YA MABASI YA ABIRIA

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matai, leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari kwenda mikoa mbalimbali kabla ya kuanza safari kwa lengo la kuangalia usalama wa vyombo hivyo vya usafiri pamoja na kujiridhisha na usimamizi na utekelezaji wa maelekezo yake kwa wakaguzi wa magari waliopo Stendi Kuu.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za usajili...

 

10 years ago

Mtanzania

JK azuia mawaziri kutoka nje ya Dar

Rais Jakaya KikweteNa Bakari Kimwanga, Dar es Salaam
MAWAZIRI wote wamezuiwa kusafiri kikazi nje ya Jiji la Dar es Salaam kutokana na kile kinachoelezwa ni maandalizi ya kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya ambao wanatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa hizo zimekuja siku moja tu tangu Ikulu kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salvatory Rweyemamu, kuwataka Watanzania kuwa na subira kwa kuwa Rais Jakaya Kikwete wakati wowote kuanzia sasa atatoa uamuzi dhidi ya tuhuma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani