Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TSN BOYS KUKABILI MWANANCHI MEDIA KOMBE LA NSSF KESHO: MROKI AIAHIDI DAU NONO


Kikosi cha TSN Boys

TIMU ya soka ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inashuka dimba la Sigara, Chang’ombe, Dar es Salaam kuikabili Mwananchi katika Kombe la NSSF kwa Vyombo vya Habari 2014.
Mechi hiyo itakayochezwa saa 2 asubuhi, itakuwa muhimu kwa timu zote mbili kwani mshindi atasonga mbele katika hatua ya robo fainali zitakazoanza Jumatatu ijayo. TSN imetinga hatua hiyo baada ya kupewa ushindi kutokana na wapinzani wao, Mlimani Media kuwatumia wachezaji ambao hawakuwa halali....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MROKI AIAHIDI DAU NONO‏: TSN BOYS KUKABILI MWANANCHI MEDIA KOMBE LA NSSF KESHO

Kikosi cha TSN Boys. TIMU ya soka ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inashuka dimba la Sigara, Chang’ombe, Dar es Salaam kuikabili Mwananchi katika Kombe la NSSF kwa Vyombo vya Habari 2014. Mechi hiyo itakayochezwa saa 2 asubuhi, itakuwa muhimu kwa timu zote mbili kwani mshindi atasonga mbele katika hatua ya robo fainali zitakazoanza Jumatatu ijayo. TSN imetinga hatua hiyo baada ya kupewa ushindi kutokana na...

 

11 years ago

TheCitizen

Mwananchi FC take on TSN as Queens confront Sahara

Mwananchi Communications Limited soccer team, Mwananchi FC, will pit their wits against Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN) in the last 16 of the National Social Security Fund (NSSF) Media Cup.

 

10 years ago

Michuzi

NSSF MEDIA CUP: Jambo Leo watia mpira kwapani Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF

Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69. Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana  mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja mbaya. Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69...

 

9 years ago

Michuzi

KUPIGA PICHA NA KOMBE LA BARCLAYS PREMIER LEAGUE KESHO LITAKUWA IPP MEDIA, MLIMANI CITY, MAZESE, BIAFRA NA VIWANJA VYA KARUME JIJINI DAR.

 Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Barclays hapa nchini, Osca Mwakyusa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na ratiba ya kutembeza Kombe la Ligi kuu ya Uingereza limeanza kutembezwa jijini Dar es Salaam kuanzia leo  Disemba 3, mwaka huuNa kesho wapenzi wa soka na ligi kuu ya Uingereza  waombwa kujitokeza kwaajili ya kupiga picha na kombe hilo ambalo limeaanza kutembezwa leo asubuhi. Ikiwa kwa kesho asubuhi Kombe hilo litaanzia katika tawi kuu la benki...

 

10 years ago

Michuzi

KOMBE LA MEYA SHINYANGA 2015 LAZINDULIWA,TIMU 18 KUCHUANA, MSHINDI KUONDOKA NA ZAWADI NONO!

Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga 2015 (Pepsi Meya Cup 2015) yamezinduliwa rasmi leo na mkuu wa wilaya ya Shinyanga ndugu Josephine Matiro katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga.
Mashindano hayo ambayo yameandaliwa na mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafidh Mukadam na kudhaminiwa na kampuni ya Vinywaji baridi ya  Pepsi (SBC Tanzania Ltd) yanashirikisha timu 17 za kata zote za manispaa hiyo na timu ya polisi Shinyanga.
Mashindano ya Kombe la Meya Shinyanga yakihusisha...

 

11 years ago

Michuzi

timu ya african boys ya kitope ndio mabingwa wa kombe la zaweda

Na Othman Khamis Ame, OMPR Timu ya Soka ya African Boys ya Kijiji cha Kitope imetawazwa ubingwa wa mashindao ya Kombe la Zaweda baada ya kuitandika timu ya New Star ya Kiwengwa kwa Magoli 4 -3 katika pambano la fainal ya mashindano hayo yaliyoshirikisha Timu 12 za Soka za Jimbo la Kitope.  African Boys ya Kitope ilibeba kombe hilo la Zaweda baada ya kutoka suluhu ya bila kwa bila na wapinzani wake New Star ya kiwengwa kwenye dakika 90 za mchezo huo na kulazimika kupigiana Penalti...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA BOYS YANYAKUA KOMBE LA MIAKA 40 YA MSUMBIJI JIJINI MAPUTO

Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys ilicheza ligi maalum ya kusherehekea miaka 40 ya Uhuru wa Mozambique na kufanikiwa kulichukua kombe hilo baada ya kufikisha pointi 7.Mchezo wa kwanza Tanzania Boys 4 na Laulane Sports 3, mechi ya pili Tanzania Boys 4 Raiva Mfalala 2 na mechi ya mwisho Tanzania Boys 5 na 25 de Setembro 5. Tanzania Boys walimkabidhi kikombe hicho Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Shamim Nyanduga ofisini kwake. Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys iliyocheza...

 

11 years ago

Michuzi

SERENGETI BOYS KUELEKEA AFRIKA KUSINI KESHO

Msafara wa watu 25 wa kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) unaondoka kesho (Julai 28 mwaka huu) kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mechi dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos).
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya pili itachezwa Jumamosi, Agosti 2 mwaka huu kwenye Uwanja wa Dobsonville uliopo Soweto, Johannesburg kuanzia saa 9 kamili mchana kwa saa za Afrika Kusini.
Timu hizo zilitoka suluhu katika mechi ya kwanza iliyofanyika Julai 18 mwaka huu kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumekucha Kombe la NSSF

Timu za soka na Netiboli za kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) ni miongoni mwa timu 19 zitakazoshiriki mashindano ya kila mwaka ya vyombo vya habari vya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) yaliopangwa kuanza Machi 22 kwenye viwanja vya TCC na Duce, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani