Tucta yamruka Mweta wa Kilimanjaro
>Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limeeleza kusikitishwa na utata wa wanawake wawili wenye majina yanayofanana kuwasili katika Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodima kwa nafasi ya ujumbe wa Bunge hilo kilisema halimfahamu Amina Mweta wa Kilimanjaro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Mar
Bakwata yamruka Shehe Alhad, yamtetea Kinana
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limekanusha kauli ya Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ya kukosoa utaratibu wa kazi za Chama Cha Mapinduzi CCM), unaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”
Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-VPKY9nNDLDc/Uk1b80BggeI/AAAAAAAAGm0/H45dRC6HgWY/s72-c/blog13.jpg)
TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA
![](http://1.bp.blogspot.com/-VPKY9nNDLDc/Uk1b80BggeI/AAAAAAAAGm0/H45dRC6HgWY/s640/blog13.jpg)
Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...
10 years ago
MichuziSERIKALI KILIMANJARO YAPONGEZA JITIHADA ZA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DhVwAplWzw8/Vl0xiKHZ-QI/AAAAAAAAXZE/WBIgV2S7Sm8/s72-c/IMG_0149%2B%25281024x683%2529.jpg)
MBIO ZA KILIMANJARO HEALTH RUN 2015 ZAFANYIKA MKOANI KILIMANJARO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-DhVwAplWzw8/Vl0xiKHZ-QI/AAAAAAAAXZE/WBIgV2S7Sm8/s640/IMG_0149%2B%25281024x683%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-OkmQqBSdAP4/Vl0xiB2scZI/AAAAAAAAXY8/JHOblb1Evoc/s640/IMG_0166%2B%25281024x683%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9hX0y36ODgE/Vl0xyEwdDaI/AAAAAAAAXZw/uIQhBnDwUcM/s640/IMG_0209%2B%25281024x683%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T822_ihh3YI/VQmZfanPRsI/AAAAAAAAM6g/VXWUfVWT2Ok/s72-c/11000684_10153157453085421_6232313785599446303_n.jpg)
MFANYABIASHARA MASHUHURI MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO VICENT LASWAI APANDA MLIMA KILIMANJARO
![](http://2.bp.blogspot.com/-T822_ihh3YI/VQmZfanPRsI/AAAAAAAAM6g/VXWUfVWT2Ok/s1600/11000684_10153157453085421_6232313785599446303_n.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PqsBE1IXs88/VQmZguEwTaI/AAAAAAAAM60/U2q2gDdTXtE/s1600/11054409_10153157453355421_5880297756316236386_n.jpg)
11 years ago
MichuziKAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE
10 years ago
Dewji Blog01 Apr
Shirika la Ndege la FASTJET lazindua safari mpya kutoka Kilimanjaro — Mwanza na Kilimanjaro — Entebe Uganda
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akiongea na wandishi wa habari Mkoani Arusha leo wakati wa uzinduzi wa safari mpya ya ndege ya Fastjet kutoka Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda, pembeni yake kulia ni Lucy Mbogoro Afisa Mahusiano na Masoko na kushoto ni Neema David Afisa Biashara wote toka shirika hilo.
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habari toka Tbc Sechelela...
5 years ago
MichuziRPC KILIMANJARO NA RIO KILIMANJARO WAKIANGALIA GARI LILILOTUMIWA NA HAYATI JULIUS KAMBARAGE NYERERE KUTAFUTA UHURU WA TANGANYIKA