Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuendelee kuwapotosha ili wawe maskini

Kufichwa ukweli wa ufahamu, utambuzi na ung’amuzi wa mambo muhimu katika maisha ndiyo msingi wa umaskini na matatizo yasiyopatiwa ufumbuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania tuendelee kufichua ukatili huu

MUNGU amempa pumziko la amani mtoto Nasra Rashid (4) aliyefariki dunia Juni Mosi mwaka huu akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam na kuzikwa katika makaburi...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU: TUENDELEE KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhi magari 10 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za dhati za Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli za kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora za afya karibu na makazi yao.
Magari hayo 10 ni kati ya magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya sh. bilioni sita yaliyonunuliwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Global Fund. Kati ya magari hayo, 18...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni kosa lenye heri au tuendelee kuwalaumu wabunge wetu?

Sote tuna vibanzi. Kila mtu kwa nafasi yake. Tusiwanyoshee wabunge kidole wala kuwalaumu. Tunapenda sana kulaumu.

 

5 years ago

Michuzi

TUENDELEE KUPAZA SAUTI ZIMBABWE IONDOLEWE VIKWAZO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania kwa nafasi yake ya Uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)imeendelea kupaza sauti ya kuondoa vikwazo kandamizi vya kiuchumi vilivyowekwa katika Jamhuri ya Zimbabwe. 
Amesema ili wasiache hata mmoja wao nyuma wanapoelekea kwenye utekelezaji wa Ajenda ya SADC ya baada ya mwaka 2020 yaani SADC Post 2020 Agenda, ni vyema wakaendelea kuisemea Zimbabwe katika majukwaa mbalimbali ya Kikanda na Kimataifa hadi vikwazo hivyo...

 

9 years ago

Vijimambo

ACHA TUENDELEE KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA NYIMBO NZURI

TUKINGOJEA MATOKEO YA KURA ...NA HUKU TUNAPATA BURUDANI YA MUZIKI
NYIMBO ZA KUMUGA RAIS JAKAYA KIKWETE KUTOKA KWAO NGOMA AFRICA
Wakati wananchi tukiendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wa hawamu ya tano, ni vema basi kujikumbusha yale ambayo yaliyofanyika katika serikali ya hawamu ya nne ya Rais anayemaliza muda amri jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa kupitia njia ya muziki bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA: NCHI ZA SADC TUENDELEE KUPAZA SAUTI KUONDOLEWA VIKWAZO ZIMBABWE

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutumia majukwaa ya kikanda, kitaifa na kimataifa kwa ajili ya kupaza sauti zao ili kusaidia kuondolewa kwa vikwazo kandamizi vya kiuchumi kwa Jamhuri ya Zimbabwe.
Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC leo Jumatano (Machi 18, 2020) Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Majaliwa alisema Tanzania kupitia nafasi yake ya Uenyekiti wa SADC imeendelea kupaza sauti kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wawe mfano wa kuigwa

WAUMINI wa Kikristo Tanzania jana wameungana na wenzao duniani kuadhimisha Sikukuu ya Noeli ambayo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwokozi wao Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Sherehe hizo...

 

9 years ago

Habarileo

Vijana waambiwa wawe wabunifu

VIJANA wameshauriwa kuwa wabunifu wa miradi mbalimbali na kufikiri njia mbadala za kujipatia kipato ili kuweza kujiajiri na kuepukana na ajira tegemezi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani