Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tujipange vyema kwenye michezo 2014

>Mwaka 2013 unamalizika kesho na kuingia Mwaka Mpya 2014 unaoanza Jumatano ukitukumbusha majukumu katika maendeleo ya michezo nchini. 2013 unamalizika tukiwa hatuna chochote cha maana ambacho tunaweza kujivunia katika medani ya michezo kimataifa kwa hiyo mwaka mpya unaanza tukiwa na majukumu makubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI VYEMA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA NA VIWANDA NDOLA ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 JULY HADI 8 JULY 2014

Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mh. Grace Mujuma akipatiwa maelezo na mmoja wa wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania ambao wanashiriki kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara na Viwanda yanayofanyika Mjini Ndola,Zambia. Sehemu ya wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania wakionyesha bidhaa zao kwenye Maonyesho hayo ya Kimataifa.

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA TABORA WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA FIESTA 2014.

Msanii mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja na Linah.Mkali wa Bongo Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua vilivyo juu ya jukwaa na la Fiesta.Msanii wa Bongofleva,Kadja akiimba wimbo wake wa Maumivu niache mbele ya maelfu ya wakazi wa Tabora (hawapo pichani) waliofika kwenye tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo. Ilikuwa buruuudani ya kusambaza upendo wa kweli kwa wakazi wa Tabora...

 

9 years ago

Michuzi

JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAGERA WAANZA VYEMA COPA COCA COLA 2014, WAICHAPA GEITA BAO 2-0 KATIKA UWANJA WA KAITABA LEO

Wachezaji wa Kagera Walio chini ya Miaka 15 wakishangilia baada ya mpira kumalizika kwenye Uwanja wa Kaitaba dhidi ya Geita kwenye Mashindano ya Copa Coca Cola, Mchezo uliochezwa leo Jumapili 12.10.2014. Kagera wameifunga Geita Bao 2-0.Na Faustine Ruta, BukobaKagera wameanza vyema Mashindano ya soka kwa vijana walio chini ya miaka 15, Copa Coca Cola, Leo Jumapili 12.10.2014 Asubuhi baada ya kuichapa Timu ya Geita bao 2-0 kwenye Uwanja wa Nyumbani Kaitaba.Bao za Kagera zimefungwa kipindi cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi tujipange kulinda kura zetu

HIVI  jukumu la kuwakomboa Watanzania  lipo mikononi  mwa nani?  Leo Watanzania tunakubali kwamba tunahitaji ukombozi wa pili. Narudia kusema Waisraeli walikombolewa mara nyingi sana, na hivi Tanzania inahitajika kukombolewa kutoka...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti ya 2014/15 itambue sekta ya michezo

Bunge la bajeti linaanza kesho huku Serikali ikiwa imetoa mwelekeo wa bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwaka 2014 uwe wa mafanikio ya michezo

WAKATI mwaka 2013 ukielekea ukingoni, wadau wa michezo wana mengi ya kukumbuka; yawe ya huzuni au furaha kwa ajili ya kujitathmini na kujipanga upya kabla ya kuingia mwaka mpya wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani