Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tujisahihishe, tuandike katiba bora — 2

WIKI iliyopita nilianza kuangalia namna mchakato wa katiba ulivyoanza na kasoro zilizopatikana hadi kusababisha kukwama baada ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia vikao vya Bunge Maalum....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Tujitathmini, tujisahihishe

KAMPENI za Uchaguzi Mkuu zimefikisha mwezi mzima leo tangu zianze rasmi Agosti 23, mwaka huu na h

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

MAMBO HALISI : Tujisahihishe kwa hili, tuendako kubaya

Ni imani yangu kwamba safari yetu bado ni salama licha ya mawimbi na misukosuko michache ambayo imeanza kujitokeza.

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI NA KAMPENI ZA KUJIKOSOA, NAMFANANISHA NA MWALIMU NYERERE NA KAULI YA TUJISAHIHISHE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Na Humphrey Pole Pole
Kumekuwa na maoni kutoka kwa wadau mbalimbali kuhusu mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CCM, Dr. John Pombe Magufuli, kuibua na kuzungumzia mapungufu ya serikali ambayo yeye ni waziri. Baadhi ya watu wanaofuatilia kampeni zake wameenda mbali zaidi na kuhisi kuwa kwa kufanya hivyo, Magufuli anawafanyia kampeni labda bila yeye kujua wapinzani wake katika...

 

10 years ago

Habarileo

Katiba Inayopendekezwa ni bora Afrika-Kingunge

Kingunge Ngombale- Mwiru MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru amewataka vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuisoma Katiba mpya Inayopendekezwa na kuielewa, kwani Katiba hiyo ni bora kuliko Katiba nyingi Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aeleza mwafaka wa Katiba bora

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema suluhisho la kupata Katiba bora ni pande mbili zinazovutana zitakapofikia mwafaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto: Tumuenzi mama kwa Katiba bora

Zaidi ya wabunge 40 kutoka Bunge la Muungano, Bunge Maalumu la Katiba na Bunge la Afrika Mashariki, jana walihudhuria maziko ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Shida Salum huku mtoto wa marehemu, Zitto Kabwe akitaka mama yake aenziwe kwa kupatikana Katiba bora.

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Matumaini ya kupata Katiba bora yanatoweka

>Licha ya mchakato wa Katiba Mpya kuendelea kama ratiba na sheria inavyoelekeza, kuna dalili za kutopata Katiba bora yenye matakwa ya wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Tumeachia itikadi za kisiasa zifanye kazi, tutakosa Katiba bora

Mchakato wa Katiba mpya unaoendelea nchini hauonyeshi dalili njema baada ya mijadala yake kuanzia kwa wananchi hadi ndani ya Bunge Maalumu kutawaliwa na hisia za itikadi za vyama badala ya utaifa.

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU ASKOFU JIMBO LA MASHARIKI KASKAZINI ASISITIZA KATIBA BORA

MAKAMU wa Askofu Jimbo la Mashariki Kaskazini, Mch. Spear Mwaipopo amesema Kanisa litaendelea kuliombea Taifa na viongozi wake lakini akawataka viongozi wa nchi hii nao watimize wajibu wao kwa kutenda haki. 
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Aprili 27, 2014) wakati akizungumza na waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies of Mwenge (TAG) katika ibada ya kuadhimisha miaka 75 ya Kanisa la TAG hapa nchini. 
Mchungaji Mwaipopo ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alisema:...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani