Tumeachia itikadi za kisiasa zifanye kazi, tutakosa Katiba bora
Mchakato wa Katiba mpya unaoendelea nchini hauonyeshi dalili njema baada ya mijadala yake kuanzia kwa wananchi hadi ndani ya Bunge Maalumu kutawaliwa na hisia za itikadi za vyama badala ya utaifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Itikadi zitafifisha katiba mpya
JUZI Rais Jakaya Kikwete, alitangaza majina 201 ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalotarajia kuanza vikao vyake Februari 18 mkoani Dodoma. Bunge hilo litajumuisha wabunge wote 357 wa Bunge...
10 years ago
Habarileo13 Aug
Wataka Katiba iainishe itikadi ya Tanzania
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza Rasimu ya Katiba mpya ieleze Tanzania inafuata misingi ipi ya itikadi kati ya Ubepari au Ujamaa na Kujitegemea.
9 years ago
Mwananchi25 Oct
SUZANE : Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Katiba nzuri bila utashi wa kisiasa ni bure
DESEMBA 30, 2013, rasimu ya pili ya katiba imewasilishwa serikalini. Ni ishara kwamba tunaelekea kupata Bunge la Katiba, kura ya maoni na hatimaye katiba mpya kama itaridhiwa. Ukisikiliza maoni kutoka...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
MAONI: Usambazaji nakala za Katiba usifanywe kisiasa
11 years ago
Mwananchi22 Apr
‘Ukomavu wa kisiasa’ kuwapa wananchi #Katiba Mpya [VIDEO]
10 years ago
Habarileo21 May
Kikwete: Asasi zifanye shughuli kwa uwazi
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuna umuhimu wa asasi za kiraia, kufanya shughuli zao kwa uwazi ili kuwapa fursa wananchi kujua shughuli wanazofanya kwa niaba yao.
5 years ago
MichuziNILAZIMA TAASISI ZA KILIMO ZIFANYE MAJUKUMU YAKE ILI KUENDELEA
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Namna bora ya kuvunja mkataba wa kazi