Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUZANE : Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani

Kuchelewa kwa maendeleo katika jamii kumekuwa kukichangiwa na sababu mbalimbali hasa uchaguzi na ubaguzi wa kazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

UN waunga mkono kazi ya Kikwete

Rais Jakaya KikweteJUMUIYA ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini hapa, imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wawakilishi UN waunga mkono kazi ya Rais Kikwete na wenzake

Jakaya-Kikwete1

Jumuiya ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) mjini New York imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani).

Jumuiya hiyo imeeleza msimamo wake wa kuunga mkono Jopo hilo wakati Rais Kikwete na wana-Jopo wenzake walipopata nafasi ya kuwaelezea Wawakilishi wa Kudumu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakubwa waunga mkono kazi ya Jopo la Rais Kikwete

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa Linalopendekeza Jinsi Dunia inavyoweza kukabiliana na majanga yajayo ya magonjwa ya milipuko, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Jumatano, Julai 15, 2015, ameongoza vikao vya Jopo hilo ambalo kazi yake imeungwa mkono na nchi 21 ambazo zilichangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola.

Miongoni mwa mikutano ambayo Rais Kikwete ameiongoza katika Makao ya Umoja wa Mataifa (UN) mjini Geneva ni pamoja na yeye na wanajopo...

 

10 years ago

Mwananchi

Namna bora ya kuvunja mkataba wa kazi

Mkataba wa ajira husainiwa kwa amani, nderemo, vifijo na shukrani nyingi na nyuso za pande zote mbili yaani mwajiri na mfanyakazi zikionyesha furaha ya kufungua ukurasa mpya wa maisha kwa kutenda kazi pamoja.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali ibuni mifumo bora ya utendaji kazi

Tangu kuanza kazi kwa Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano, likiwa na kaulimbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’, mengi yameonekana kutoka kwa mawaziri hao.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE KINGU AUNGA MKONO AGIZO LA RAIS KUCHAPA KAZI KIPINDI HIKI CHA CORONA


 Katibu wa Mbunge wa Singida Magharibi, Abubakari Muna (katikati), akikagua ujenzi wa nyumba ya mama na mtoto inayojengwa Kata ya Muhintiri wilayani Ikungi. Ujenzi ukiendelea. Hapa wakipeana maelekezo ya ujenzi huo.Ujenzi wa choo cha Zahanati ya Kata ya Muhintiri ukiendelea.


Na Dotto Mwaibale, Singida.
MBUNGE wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu ameendelea kuunga mkono agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kuwataka wananchi kote nchini kuendelea kuchapa kazi katika kipindi hiki ambacho...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Seif asisitiza mitaala bora ya ustadi wa kazi

Balozi Seif Ali IddiMAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema nchi itaweza kukabiliana na changamoto ya ajira kwa kuhakikisha vyuo vyote nchini vinakuwa na mitaala inayoelekeza kufundisha umahiri na ustadi wa kazi.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hapa kazi tu na utendaji kazi wa staili ya jeshi la mtu mmoja

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli ameanza kazi kwa staili ambayo si mpya hapa nchini.

Yahya Msangi

 

10 years ago

Bongo Movies

KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker

Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.

Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani