Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka Katiba iainishe itikadi ya Tanzania

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza Rasimu ya Katiba mpya ieleze Tanzania inafuata misingi ipi ya itikadi kati ya Ubepari au Ujamaa na Kujitegemea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Itikadi zitafifisha katiba mpya

JUZI Rais Jakaya Kikwete, alitangaza majina 201 ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalotarajia kuanza vikao vyake Februari 18 mkoani Dodoma. Bunge hilo litajumuisha wabunge wote 357 wa Bunge...

 

11 years ago

Mwananchi

Tumeachia itikadi za kisiasa zifanye kazi, tutakosa Katiba bora

Mchakato wa Katiba mpya unaoendelea nchini hauonyeshi dalili njema baada ya mijadala yake kuanzia kwa wananchi hadi ndani ya Bunge Maalumu kutawaliwa na hisia za itikadi za vyama badala ya utaifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka Katiba ya Tanganyika

Serikali imeshauriwa kuanza mchakato wa kuunda Katiba ya Serikali ya Tanganyika ili iweze kuendana na matakwa ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wataka elimu ya katiba

UMOJA wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (Uwawada), umesema baada ya Bunge Maalumu kupitisha Katiba iliyopendekezwa, kilichobaki sasa ni wananchi kupewa elimu ya kutosha ili wafanye uamuzi sahihi. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka Katiba inayopendekezwa itembezwe

BAADHI ya wajumbe wameshauri Katiba Inayopendekezwa iliyopatikana jana, itembezwe na kutumika kutoa elimu kwa wananchi, ikiwemo kupitia mkutano wa hadhara utakaofanyika Kibandamaiti, Zanzibar.

 

10 years ago

Habarileo

KKKT wataka Katiba ya Watanzania

MSAIDIZI wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kikristo Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma Mchungaji Samweli Mshana, amewataka wajumbe walio katika mchakato wa Katiba kuhakikisha wanawapatia watanzania Katiba itakayotoa haki zote bila upendeleo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watanzania Zimbabwe wataka rasimu ya katiba



Na Athanas Kazige, Harare BAADHI ya Watanzania wanaoishi Zimbabwe, wameiomba serikali kupeleka Rasimu ya Katiba ili waisome na kuielewa vizuri. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi hapa, Apatae Fatacky, alisema hayo alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari hii, katika  klabu ya Watanzania iliyoko 6 Allan Willson.
Alisema wamekuwa wanafuatia rasimu hiyo kwa kusoma kupitia mitandao ya kijamii na kuomba kama kuna uwezekano wapelekewe vitabu angalau 10, katika ofisi ya ubalozi....

 

11 years ago

Tanzania Daima

SCOC wataka maridhiano Bunge la Katiba

KAMATI Maalumu ya Wataalamu wa Katiba (SCOC) imetaka mamlaka ya juu ya nchi kuutafutia suluhu mgogoro uliosababisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge Maalumu la Katiba....

 

11 years ago

Tanzania Daima

ACT wataka maridhiano Bunge la Katiba

CHAMA cha Aliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania), kimeyataka makundi yanayosigana ndani ya Bunge Maalum la Katiba watafute maridhiano yatakayowezesha kupatikana kwa katiba iliyo bora. ACT-Tanzania imeyataka makundi hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani