Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume: Polisi badilikeni

Ofisa Mawasiliano Mwandamizi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Germanus Kyafula akionesha vitabu vya mwongozo wa Polisi na mambo 101 unayohitaji kuyafahamu kuhusu Polisi unaogopa kuyauliza, wakati akizungumza na waandishi Dar es Salaam jana kuhusu Tanzania kuongoza nchi za Afrika katika Maboresho ya Utoaji Haki za watuhumiwa na Mahabusu na Utekelezaji wa miongozo ya Luanda kuimarisha Haki za Binadamu nchini. Wengine ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Elimu kwa Umma na Mafunzo, Alexander Hassan na Mkurugenzi Idara ya Huduma za Kisheria, Nabor Assey. (Picha na Yusuf Badi).BAADHI ya askari Polisi wa Tanzania, wametajwa kushiriki vitendo vya kunyanyasa raia wakati wa kukamata watuhumiwa, kuwahoji na wakati wa kuwaweka ndani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wabunge viti maalumu badilikeni

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa mgawanyo wa idadi ya wabunge wa viti maalumu kwa vyama vya CCM ambacho kimepata viti 64, kikifuatiwa na Chadema chenye viti 36 na CUF viti 10.

 

10 years ago

Mwananchi

Vijana badilikeni ili tuwaamini

Mimi sasa ni mtu mzima, naona kabisa kuna mambo niliyoweza kuyafanya nikiwa kijana na sasa siwezi. Wale niliokuwa nao shuleni na vyuoni wananikumbuka kama mmoja wa wachezaji bora wa timu za shule na vyuo, hata kuchukua zawadi.

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo: Mnataka ubingwa, badilikeni

 Kocha mkuu wa Yanga, Marcio Maximo amewataka wachezaji wake nyota kubadilika kama wanataka ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.

 

11 years ago

Habarileo

'Badilikeni kukabili mabadiliko ya hali ya hewa'

VIJANA nchini wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa katika kizazi hiki ili kizazi kinachokuja waweze kufaidi dunia yenye mazingira bora.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAAHIDI KUONGEZA ULINZI TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA


Jeshi la Polisi nchini limeingia Makubaliano ya kutoa Ulinzi na Tume ya Nguvu za Atomik Tanzania, kutokana na eneo hilo kuwa ni muhimu kwa nchi,pamoja na usalama wa nchi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa eneo hilo halitumiwi na wahalifu.

Akizungumza wakati wa zoezi hilo Kamishna wa Operesheni Liberatus Sabas alisema kuwa eneo hilo ni muhimu sana kwa usalama wa nchi hivyo, linahitaji kuwa salama na ulinzi mathubutu ili kuzuia wahalifu kutotumia eneo hilo.

Sabas alisema...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI CHIKAWE AWAAPISHA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA TUME YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimuapisha Afisa wa Jeshi la Magereza, Elmas Linus Mgimwa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendaji wa askari wa majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Waziri Chikawe ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima, na katikati ni Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

CHIKAWE AWAAPISHA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA TUME YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimuapisha Afisa Utumishi wa wizara hiyo, Anna Yusufu Mariam  kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendaji wa askari wa majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima, na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil. 

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA ALA KIAPO CHA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta.  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani