TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YATEMBELEWA NA MWANADIASPORA KUTOKA NCHINI MAREKANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-zT6cYLMqHtE/VWBZnRFG5TI/AAAAAAAABRU/-aZL4SApwrU/s72-c/11159883_10152886715134786_8673404612961135280_o-2.jpg)
Mwanadiaspora Walter akiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi mkuu wa Tume ya Sayansi na Tekinolojia - COSTECH (http://www.costech.or.tz) Dr. Hassan Mshinda. Mazungumzo ambayo yalilenga shughuli zinazofanywa na taasisi hiyo kwenye mambo ya tekinolojia na jinsi gani wana-diaspora wanavyoweza kuchangia katika kuleta maaendeleo ya tekinolojia nchini kwao. Mwanadiaspora aliwaambia kwa jibu la haraka anachoweza kufanya kuwatafutia vitabu kutoka kwenye vyazo vyake mbali mbali kama universities,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-IhGyGqpH0ws/VTjfT-u-FOI/AAAAAAAHSws/eOwXNjy7gqY/s72-c/SimbaKalia.jpg)
UTEUZI WA MWENYEKITI WA BARAZA LA TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IhGyGqpH0ws/VTjfT-u-FOI/AAAAAAAHSws/eOwXNjy7gqY/s1600/SimbaKalia.jpg)
===== ====UTEUZI WA MWENYEKITI WA BARAZA LA TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikiwete, amemteua Mhandisi, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia tarehe 10 Aprili 2015.
Uteuzi huo ni kwa mujibu wa Kifungu Na. 4 cha Sheria Na. 7 ya Mwaka 1986 iliyounda Tume ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-baIwmGbi0_k/Xtjy8wA6qoI/AAAAAAALsng/jQ552wQ3gpcUsvQgGlALDRu0NyU-v_MCACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200604-WA0044.jpg)
WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA KUTOKA AFRICAB
Na Said Mwishehe ,Michuzi TV
KATIKA kuendelea kukabiliana na virusi vya Corona nchini, SerikaIi kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imepokea msaada wa matanki 100 kutoka kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya umeme ya AFRICAB maalumu kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi na wanavyuo jijini Dar es Salaam kunawa mikono ili kukabiliana na janga la homa mapato inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akipokea na kisha kukabidhi matanki hayo yenye thamani ya Sh. Milioni 50, Waziri wa Elimu...
10 years ago
GPLHUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
MichuziVIJANA WEKENI MSISITIZO MASOMO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILI MUWE WAJUZI NA KULETA MAENDELEO NCHINI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-osmbxl6-X64/VbDWFGJ_DTI/AAAAAAACgM8/K1_6NtUq47c/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA 10 YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-osmbxl6-X64/VbDWFGJ_DTI/AAAAAAACgM8/K1_6NtUq47c/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-8UvF0UU_NZQ/VbDWJzHJOOI/AAAAAAACgNE/ysScJJibNR0/s640/3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s72-c/1.jpg)
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9S3V-Rv7R90/VEJ2_t-r1nI/AAAAAAAGrdA/_yogDFqZLPM/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rIH0WR7WlvY/VEJ3RwGPZGI/AAAAAAAGrdI/URaG4XbjidI/s1600/3.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KpP6UOlLcGA/UwuWeczkRMI/AAAAAAAFPTA/Ah0uRv8o32k/s72-c/se1.jpg)
Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana
10 years ago
Habarileo19 Dec
JK: Serikali itawekeza katika sayansi, teknolojia
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali yake imedhamiria kwa dhati kuwekeza katika masomo ya sayansi na teknolojia, kwani hiyo ndio siri kubwa ya maendeleo ya nchi.