Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumi anaporomosha mistari kutoka A.Kusini

Msanii Tumi Molekane amejenga jina lake kama mwimbaji na mtunzi wa mashairi ya kusisimua .Ngoma hii iko katika Album yake Solo ya Rob the Church aliyoitoa Agosti mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

TID afanya kolabo na rapper wa Afrika Kusini, Tumi Molekane

TID ameingia kwenye studio ya B Records za Dar es Salaam na rapper wa Afrika Kusini, Tumi Molekane. Wimbo waliorekodi unaitwa ‘Bongo’. TID ameiambia Bongo5 kuwa rapper huyo alikuwa na shauku kubwa ya kufanya naye kazi. “Mimi na Tumi tumefanya kazi moja nzuri sana studio jana,” amesema TID. “Tumetoka late sana kama saa kumi hivi. […]

 

11 years ago

Habarileo

'Mabasi UDA lazima yawe na mistari'

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesisitiza kwamba, mabasi ya Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) yanatakiwa kupaka rangi kulingana na njia na si kuweka vibao pekee.

 

9 years ago

BBCSwahili

Taylor Swift ashtakiwa kwa kuiba mistari

Msanii maarufu zaidi duniani kwenye mtandao wa Instagram Taylor Swift ameshtakiwa kwa kuiba mistari ya wimbo wake maarufu Shake It Off.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale: Hii ndiyo Mistari ya Nuh Mziwanda Alipokuwa Anamtongoza Wema Sepetu, Utavunja Mbavu

Kwa jinsi teknolojia ilivyokua watu wanapaswa kuwa makini sana kwa simu wanazopiga na maneno wanayoongea

Nuh Mziwanda amejikuta akiumbuka vibaya baada ya Wema Sepetu kuvujisha sauti anayosikika akimtongoza mrembo huyo. Mazungumzo hayo yanachekesha sana hasa kutokana na mistari anayompa Miss Tanzania huyo wa zamani. Haya ni maongezi yaliyofanyika mwezi June (siku moja kabla ya KTMA 2015). Tunafahamu wapo wasioweza kusikiliza clip yote hivyo tumekuandikia mazungumzo hayo.

Nuh Mziwanda: Kuna...

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA SPLM KUTOKA SUDANI KUSINI WAMFUATA KINANA MASASI


 Jenerali James Kok ambaye ni Mjumbe wa kamati kuu, SPLM, Mbunge , amewahi kuwa Waziri wa masuala ya kijamiii na bisahara katika serikali ya umoja wa kitaifa  Sudan,SPLM - IG akiwasalimu wananchi wa Masasi. Msafara wa viongozi hao kutoka Sudani kusini ulifika wilayani Masasi kwa lengo la kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (mwenye shati la kijani) pamoja na viongozi wa chama cha SPLM kutoka Sudani Kusini wakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Na Veronica Simba – Dar es Salaam
Maafisa Wakuu 35 kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini (South African National Defence College – NDC), wametembelea Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Septemba 30, 2014 kwa lengo la kujifunza kuhusu Sera ya Tanzania kuhusu vyanzo vya nishati nchini hususan mafuta, gesi, makaa ya mawe na uvumbuzi wa madini mengine na changamoto zake.
Maafisa hao waliongozwa na Mkuu wa Chuo Brigedia Jenerali G.M. Yekelo pamoja na Maafisa kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

WANDISHI KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA PORI LA AKIBA LA SELOUS

Na Geofrey Tengeneza - Selous
Kundi la wandshi wa habari tisa kutoka vyombo vya habari vya Serikali na binafsi nchini Afrika Kusini wametembelea Pori la Akiba la Selous na kufurahishwa na vivutio vllivyomo katika pori hilo wakiwemo wanyama kama Simba, tembo, twiga, na ndege wa aina mbali mbali.
Wandishi hao walivutiwa na kufurahia sana kuwaona hasa Simba na tembo kiasi cha miongoni mwao Kulikiri kuwa ni mara yao kwanza kuwaona wanyama hao kwa macho yao wakiwa katika maisha yao ya asili...

 

10 years ago

Michuzi

ujumbe wa kampuni ya siemens kutoka afrika ya kusini wamtembelea waziri wa uchukuzi

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens, Bi. Sabine Dall’Omo, wakati akifafanua jambo, alipomtembelea Waziri wa Uchukuzi akiwa na ujumbe wake, kutaka kufahamu fursa za uwekezaji katika sehemu ya reli, leo asubuhi. Wakurugenzi wa Wizara ya uchukuzi, na ujumbe wa kampuni ya Siemens kutoka nchini Afrika Kusini wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens, Bi Sabine Dall’Omo( wa nne kutoka kulia), wakati Afisa huyo na Ujumbe wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani