‘Tunaumizwa na madai kwamba Ballali yupo hai’
Baadhi ya wanafamilia wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali wamesema taarifa zilizozagaa kwamba ndugu yao huyo yupo hai hadi sasa, zinawaumiza na kuwakumbusha uchungu walioupata wakati wa kifo chake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo11 years ago
GPLKUMRADHI: SALUM KASSIM YUPO HAI
Salum Kassim yupo hai. Tunaomba radhi kwa kuchanganya habari za kifo cha mtoto aliyevunjwa mguu ambaye tulimuandika katika Gazeti la Risasi la leo Julai 12, 2014 na badala yake tumetangaza kuwa aliyefariki ni mtoto Salum Kassim. Huyo mtoto yupo hai na tunasikitika sana kwa kujichanganya huko. Tunaomba radhi pia kwa wazazi wa Salum na tupo pamoja katika kuhakikisha anapatiwa tiba katika harambee zetu. Tunaomba...
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Hussein Machozi asema bado yupo hai
Mwimbaji wa wimbo ''Kafia Ghetto'' na 'Jela' Hussein machozi ameshtumu uvumi unaondelea kwamba amefariki baada ya ajali ya barabarani
11 years ago
GPLMZEE SMALL YUPO HAI, TAARIFA ZA KIFO CHAKE NI UZUSHI
KUNA taarifa zilizagaa kuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amefariki dunia. Taarifa hizo ni za uongo na uzushi maana mwandishi wetu ameongea na mke wa Mzee Small pamoja na Mzee Small mwenyewe ambaye ni mzima kabisa! Mke wa Mzee Small anadai usiku kucha hajalala maana alikuwa anapokea meseji za pole kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu taarifa hizo za uzushi. Mzee Small...
10 years ago
Bongo510 Nov
Macaulay Culkin (Kevin) wa ‘Home Alone’ athibitisha kuwa yupo hai baada ya kuzushiwa kifo weekend iliyopita
Muigizaji na mwanamuziki Macaulay Culkin (34) aliyepata umaarufu kupitia filamu ya ‘Home Alone’ aliyoigiza enzi za udogo wake kama Kevin, amezizika tetesi zilizoibuka weekend iliyopita kuwa amefariki dunia. Picha ya Culkin aliyopost Instagram kuthibitisha yupo hai Culkin ametumia mitandao ya kijamii kuthibitisha kuwa bado yupo hai na ni mzima. Taarifa hizo za uzushi zilianzia Facebook […]
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Tunaumizwa, tunashangilia?
KUNA raia mmoja wa Uingereza aliwahi kukaririwa akisema kwamba Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo ina idadi kubwa ya watu wasiojali lolote wala chochote hata kile kinachowaumiza na kuwakandamiza. Na...
11 years ago
GPLNISHA BADO YUPO YUPO SANA
Stori: Chande Abdallah Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa. Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwanahabari wetu, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja. kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima...
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARALE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA
Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa wilaya ya Hai, wakitizama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Mbowe akijadili jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka na viongozi wengine baada ya kuona namna ambavyo miundo mbinu ya reli ilivyosombwa na maji.
Baadhi ya...
Baadhi ya...
10 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARARE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA
Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai wakitazama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli.Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania