Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunaweza kujitosheleza kwa Sukari

Tunaweza kujitosheleza kwa Sukari

Leo siku nzima kamati ya PAC ilikuwa inazungumza na Bodi ya Sukari, Wizara ya Kilimo na Wakulima wa Miwa Wilayani Kilombero. Tanzania huzalisha wastani wa tani 300,000 za Sukari kwa mwaka ilhali mahitaji ni tani 420,000 kwa mwaka. Hii hupelekea uagizaji wa Sukari kutoka nje ambao umekumbwa na malalamiko makubwa sana kutoka kwa wadau mbalimbali.

Masuala kadhaa yameibuliwa katika kikao cha leo

Wakulima wamelalamikia sana uingizaji holela wa Sukari nchini. Bei...

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla akiwa kwenye ukaguzi wa kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani humo, kama sehemu ya kuangalia hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. Picha na Mpigapicha wetu.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...

 

10 years ago

Vijimambo

UVCCM WAMPONGEZA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE KWA HOTUBA YENYE UFAFANUZI WA KUJITOSHELEZA KUHUSU ESCROW

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba yake nzuri iliyojaa ufafanuzi bayana wa masuala makubwa ya kitaifa, likiwemo suala la Akaunti ya Escrow ya Tegeta, yaliyoleta mkanganyiko kwa wananchi, aliyoitoa jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee alipozungumza na wazee wa jiji la Dar es salaam.
Sisi Vijana tunampongeza kwa kubariki na...

 

11 years ago

GPL

MOI TUNAWEZA KWA ZAIDI YA 95%

Meneja Ustawi na Mahusiano wa Taasisi ya Tiba na Mifupa ‘’MOI’’ Jumaa Almas akizungumza jambo na wanahabari (hawapo pichani). Sehemu ya bango la kituo cha MOI.…

 

10 years ago

Mwananchi

Tunaweza kuzuia ukatili kwa wanafunzi?

Kushughulika na ukatili wa kijinsia kunajumuisha kufanya mambo mbalimbali na aghalabu yanayochanganya. Hebu kitafakari kisa hiki.

 

9 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Magereza lajipanga kujitosheleza chakula cha wafungwa

image

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Jeshi la Magereza nchini limejipanga kuanza kujisimamia lenyewe kwa kuwahudumia wafungwa chakula bila ya kuitegemea serikali kutokana na kuwepo na upungufu wa chakula cha kuwahudumia wafungwa hao.

Akizungumzia mpango huo wakati wa kikao cha kujadili rasimu ya mpango wa Jeshi hilo kujitosheleza kwa chakula, Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja amesema wameanzisha mpango huo ili kuipunguzia mzigo serikali kutokana na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tahadhari kwa wanaotumia Sukari nyingi

Wataalamu wa afya wanatahadharisha kuwa juhudi zaidi zinahitajika kupunguza kiwango cha Sukari kinachotumiwa na watu.

 

10 years ago

Vijimambo

Binti aliyeongoza la saba aozeshwa kwa sukari


Mmoja wa wanafunzi walioongoza mtihani wa Taifa wa darasa la saba mwaka huu mwenye umri wa miaka 16 kutoka wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro anadaiwa kuozwa kwa mwanaume mwenye umri wa miaka 50 baada ya wazazi wake kupewa sukari kilo mbili kama mahari.

Kutokana na hali hiyo, Mtandao wa Kuelimisha Jamii kuhusu Ukeketaji mkoani Kilimanjaro (NAFGEM), umefanya jitihada za kumuokoa pamoja na wanafunzi wa kike wengine 15 waliotaka kufanyiwa vitendo vya ukeketaji kwa ngariba.

Msichana huyo wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Vitu gani tunaweza kujifunza kwa nchi ambazo zimepambana mapema na corona?

Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa wimbi la pili baada ya kulegezwa kwa masharti

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani