Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunda Man: Shoo bora ni za wanyanyua vyuma

TUNDANA RHOBI CHACHA
NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’ amewaasa wasanii wenzake kufanya mazoezi kwa nguvu ili waweze kumudu maonyesho yao wawapo jukwaani.
“Wasanii wanatakiwa wafanye mazoezi yakiwemo‘push up’ na kunyanyua vitu vizito ili wajiweke sawa kiafya na kumudu shoo zao wawapo jukwaani,’’ alisema.
Tunda Man aliongeza kwamba wanaoshindwa kumudu jukwaani hawafanyi mazoezi ya kutosha na wanaofanya mazoezi hayo huwa na matokeo mazuri jukwaani.
“Hakuna...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

R.O.M.A, MO MUSIC, TUNDA MAN WAANGUSHA BONGE LA SHOO COCO

Mo Music akiwa na madensa wake wakianzisha shoo.
Tunda Man akifanya yake jukwaani.…

 

10 years ago

GPL

TUNDA MAN AKIINGIA DAR LIVE TAYARI KWA SHOO

Tunda Man akiwasili Dar Live. Madansa wa Tunda Man wakiwasili Dar Live. Tundaman katika picha ya pamoja na madansa wake. Tunda Man akipozi kwenye 'Red Carpet' Peke…

 

11 years ago

GPL

NATURE, MZEE YUSUF, TUNDA MAN, KHADIJA KOPA, SNURA, KR, BAMBO WAWASHA MOTO SHOO YA SAYONA DAR LIVE

   Juma Nature akiwapagawisha mashabiki wake Dar Live. Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki. Tunda Man nae…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunda Man: Ukata ni tatizo

MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’, amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN

Issa Mnally
VIBAKA ambao hawakufahamika mara moja mwishoni mwa wiki iliyopita, walivunja kioo kidogo cha gari la nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na kumkomba vitu mbalimbali vikiwemo power window, kompyuta mpakato na fedha katika tukio lililotokea Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’. Katika usiku ambao msanii huyo ilikuwa apande na...

 

11 years ago

GPL

TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Na Shakoor Jongo
Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja. Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Tunda Man aulilia msamaha wa Matonya

Matonya na Tunda Man

Tunda Man amedai yupo tayari kumpigia magoti Matonya ili wamalize tofauti zao zilizodumu kwa kipindi kirefu.

Matonya na Tunda Man

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya, Mama Kijacho hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa ameshachoshwa na kusikia kuhusu masuala ya kutoelewana.

“Nilimpigia simu akanitukana matusi mengi sana mpaka leo sipati jibu kwanini,” alisema. “Nilimpigia simu ili nijue tunafanyaje kuhusu video ya wimbo tuliofanya pamoja kwa sababu kuna sehemu nilipita...

 

10 years ago

Bongo5

Music: Delilah Ft. Tunda Man — Kichuna

Wimbo mpya wa msanii Delilah amemshirikisha Tunda Man Studio Rubi Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

TUNDA MAN, NYOTA NDOGO WANASWA!

Stori: SHAKOOR JONGO Kabang! Memba wa Kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na mwanamuziki wa nchini Kenya, Mwanaisha Abdallah ‘Nyota Ndogo’ wamenaswa laivu wakiwa kwenye pozi la mahaba niue. Memba wa Kundi la Tip Top Connection , Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ akipozi kimahaba na mwanamuziki Mwanaisha Abdallah ‘Nyota...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani