Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunisia yapata waziri mkuu mpya

Wanasiasa nchini Tunisia wamefikia makubaliano kuhusu waziri mkuu mpya baada ya mazungumzo kati ya chama tawala cha Ennahda na upinzani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Tunisia yapata katiba mpya

Bunge la Tunisia limeidhinisha katiba mpya,ikiwa ni ya kwanza tangu kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa rais wa taifa hilo Ben Ali,miaka 3 iliopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Tunisia ang'atuka

Waziri mkuu wa Tunisia, Ali Larayedh, amejiuzulu ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya kuendeleza mageuzi ya demokrasia nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

TCRA YAPATA MKURUGENZI MKUU MPYA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb), kwa mamlaka aliyonayo chini ya Sheria Na. 12 ya mwaka 2003 ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Kifungu cha 13  (1) amemteua Dkt. Ally Yahaya Simba  kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia tarehe 6 Julai 2015.  
Kabla ya  uteuzi huo, Dkt. Ally Yahaya Simba alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano,...

 

11 years ago

Michuzi

SUMATRA YAPATA MKURUGENZI MKUU MPYA



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI


 
 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Kwa mujibu wa Sheria ya Wakala wa Serikali No. 30 ya mwaka 1997, Kifungu Na. 9 ikisomwa pamoja na Marekebisho yake ya Mwaka 2009, Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe(MB) amemteua Bw. Gilliad Wilson  Ngewe  kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kuanzia tarehe1/6/2014.

Kabla ya Uteuzi huo Bw. G. W. Ngewe , alikuwa Kaimu...

 

10 years ago

Mwananchi

NMG yapata ofisa mtendaji mkuu mpya

Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Nation Media Group (NMG) imemtangaza Joseph Muganda kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu mpya atakayeshika hatamu ya uongozi wa kampuni hiyo kuanzia Julai Mosi mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

NCCR-Mageuzi yapata Katibu Mkuu mpya

ALIYEKUWA Katibu Mkuu taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Samuel Ruhuza amejitoa katika kinyang’anyiro cha kutetea nafasi yake hiyo. Hali hiyo imempatia ushindi wa kishindo, Mosena Nyambabe, ambaye alishinda kwa kura 57 kati ya kura 71 kwenye uchaguzi wa chama hicho.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amwakilisha Rais Kikwete kwenye hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) wa katikati alipokuwa anaingia kwenye uwanja uliotumika kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe. Pakalitha Mosisili jijini Maseru jana. wengine katika picha, kutoka kulia ni Bibi Talha Mohammed, Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Mhe. Radhia Msuya, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ambaye pia anawakilisha Lesotho. kutoka kushoto ni Maafisa wa Serikali ya Lesotho.Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe....

 

9 years ago

Mtanzania

Waziri Mkuu Mpya ni Majaliwa Kassim

 

kassimNA MAREGESI PAUL, DODOMA

WAZIRI Mkuu mteule, Kassim Majaliwa, amesema hakutegemea kupata nafasi hiyo baada ya Bunge kumpitisha kwa kura nyingi jana.

Majaliwa alitoa kauli hiyo bungeni alipokuwa akiwashukuru wabunge dakika chache baada ya Bunge kumthibitisha kuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano kwa kupata kura 258 kati ya 351 zilizopigwa.

“Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuongoza wote kuwa hapa leo, na nawashukuru wabunge wote kwa kupitisha jina...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu mpya aidhinishwa Somali

Bunge la Somalia limemuidhinisha waziri mkuu mpya akiwa afisa wa tatu kuhudumu katika wadhfa huo katika kipindi cha miaka miwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani