Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUPIME NA KUJICHUNGUZA SARATANI - TBCF

Mkurugenzi wa taasisi ya saratani ya matiti (TBCF), Angela Kuzilwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maradhi ya saratani ya matiti na shingo ya kizazi pamoja na umuhimu wa watu (wake kwa waume) kupima mara kwa mara. Kulia ni Grolia Kida ambaye ni mhasibu na  kushoto ni Keziah Makoyo ambaye ni Mkurugenzi wa mahusiano ya nje ya Taasisi hiyo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TBCF na mkakati wa mapambano ya kuzuia saratani ya matiti na mlango wa kizazi nchini

GOPR0025

Hospitali ya Saratani ya Ocean Road.

Na Beatrice Lyimo, Maelezo.

Takribani watu 40,000 nchini wakiwemo wanawake na wanaume wanapata ugonjwa wa saratani kila mwaka, ambapo asilimia 12 kati yao wana saratani ya matiti huku wengine wakiwa na saratani ya mlango wa kizazi.

Takwimu toka Hospitali ya Saratani ya Ocean Road zinaonyesha kuwa kati ya wagonjwa hao, idadi ya wanawake wanaopata ugonjwa huo kila mwaka ni zaidi ya 3,000 ambapo idadi hiyo ni sawa na asilimia 10 ya wanaofika kwa ajili ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sakata la Flora Mbasha linatulazimisha kujiuliza maswali na kujichunguza

SUALA la Flora Mbasha na mume wake lina sehemu nyingi ambazo unaweza kuziangalia na kutolea maoni. Hata hivyo, naamini kubwa ni tatu ambazo ziko juu na rahisi kuonekana. Suala la...

 

10 years ago

GPL

SABBY: WASANII TUPIME HIV

Na Imelda Mtema
MSANII anayekuja kwa kasi anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amewaasa wasanii wenzake kujali afya zao kwa kupenda kupima ugonjwa wa Ukimwi mara kwa mara. Msanii anayekuja kwa kasi anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’. Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kungekuwa na taratibu kabisa za kupima ugonjwa huo si kwa nia mbaya ili kuweza...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Raia Mwema

Tuchunge ndimi zetu, tupime maneno yetu, tuwaheshimu wenzetu

NAAMINI nitakuwa sijakosea iwapo nitarejea maoni yangu niliyowahi kuyaanika kupitia makala zangu

Jenerali Ulimwengu

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


exim1 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani