Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuchunge ndimi zetu, tupime maneno yetu, tuwaheshimu wenzetu

NAAMINI nitakuwa sijakosea iwapo nitarejea maoni yangu niliyowahi kuyaanika kupitia makala zangu

Jenerali Ulimwengu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MGOGORO WA ZIWA NYASA: WAKATI WENZETU MALAWI WAKIPAMBANA KWA TEKNOHAMA SISI WATANZANIA BADO TUNAPAMBANA KWA MANENO.

Kaka michuzi naomba unichapishie makala yangu kwenye blog yako. Kama tunavyofahamu kwa wakati huu Tanzania ipo katika mgogoro wa ziwa nyasa kati yetu na Malawi wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kutumia mtandao wa Google Map.
Google Map ni mtandao mkubwa ambo unaonyesha Ramani ya dunia nzima kwa kutumia picha ya satellite na watu wengi hususani watalii hutumia mtandao huu kabla ya kwenda mahali husika . Lakini mtandao huu huitaji watu kujaza taarifa zaidi kama kuonyesha mipaka ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mafuriko yetu, ajali pia zetu zitumalize, tuna nini!

>Nilipoandika kwenye safu hii nikiomboleza misiba ya Watanzania wenzetu zaidi ya 1,000 ambao ajali lukuki za barabarani zimekatisha tena bila huruma maisha yao, zimezima ndoto na matumaini yao mengi, sikujua kama misiba mingi zaidi itaendelea kuirarua nchi yetu kwa kiasi hiki cha kusikitisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuwaheshimu wanawake wa TANU

YA kale ni dhahabu. Ukiona kinaelea kimeundwa! Usemi huu umekuwa ukitumika katika masuala mbalimbali. Na leo nimependa nianze na maneno haya katika makala yangu. Katika safu yangu hii, nimewahi kuandika...

 

11 years ago

Michuzi

TUPIME NA KUJICHUNGUZA SARATANI - TBCF

Mkurugenzi wa taasisi ya saratani ya matiti (TBCF), Angela Kuzilwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maradhi ya saratani ya matiti na shingo ya kizazi pamoja na umuhimu wa watu (wake kwa waume) kupima mara kwa mara. Kulia ni Grolia Kida ambaye ni mhasibu na  kushoto ni Keziah Makoyo ambaye ni Mkurugenzi wa mahusiano ya nje ya Taasisi hiyo.

 

10 years ago

GPL

SABBY: WASANII TUPIME HIV

Na Imelda Mtema
MSANII anayekuja kwa kasi anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amewaasa wasanii wenzake kujali afya zao kwa kupenda kupima ugonjwa wa Ukimwi mara kwa mara. Msanii anayekuja kwa kasi anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’. Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kungekuwa na taratibu kabisa za kupima ugonjwa huo si kwa nia mbaya ili kuweza...

 

11 years ago

Mwananchi

SAFU YA ELIMU&MALEZI: Wazazi tuchunge uhuru tunaowapa watoto

>Katika mfululizo wa makala za malezi kwa watoto nimekuwa nikisisitiza kuwa ni muhimu watoto wapewe fursa ya kushiriki katika masuala ya kifamilia.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndimi zilizojeruhi ndani ya Bunge Maalumu Dodoma

Wakati mjadala kuhusu sura ya kwanza na sita kwenye Bunge Maalumu ukielekea ukingoni, baadhi ya wajumbe wametoleana kauli ambazo zimesababisha kutoelewana.

 

10 years ago

Mwananchi

Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.

Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii hasa katika tahajia, matamshi, maana na matumizi yake. Kwa maneno mengine, lugha ya Kiswahili hivi sasa inawakanganya watumiaji wake hasa wanafunzi wa ndani na  nje ya Afrika Mashariki. Mkanganyiko huu unasababishwa na udhaifu uliopo katika taaluma ya lugha ya Kiswahili kama mofolojia, fonolojia, sintaksia na semantiki kwa waandishi na watangazaji wa...

 

10 years ago

Bongo5

Picha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandaoni

Baada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya wawili hao wakila ‘denda’ imesambaa mtandaoni. Zari The boss lady Picha ya Diamond Platnumz na Zari iliyosambaa mtandaoni, huku Zari akiwa amevaa kofia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani