‘Tusitunge Katiba kufurahisha wapigakura’
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Ibrahim Lipumba, amewatahadharisha wajumbe wasitunge katiba ya kuwafurahisha wapigakura wao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jul
MAONI: Kweli, tusitunge Katiba kwa kuvunja Katiba
>Zikiwa zimebaki wiki mbili kabla ya kuanza tena kwa vikao vyake, baadhi ya wanasheria maarufu wamesema Bunge la Katiba halitaweza kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba Mpya bila kuwapo wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Daftari la Wapigakura kuboreshwa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema Daftari la Kudumu la Wapigakura, litafanyiwa marekebisho kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya, ili kuwawezesha vijana waliotimiza umri wa miaka 18, ambao hawakujiandikisha, kupata fursa ya kupigakura.
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Tamisemi kuelimisha wapigakura
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema wizara yake imeweka mikakati ya kuhakikisha inatoa elimu kwa jamii kupitia halmashauri ili wananchi watambue umuhimu wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura.
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Lubuva awatoa hofu wapigakura
Babati,Dar. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva amesema kwamba, kazi ya uandikishaji wa Daftari la Wapigakura inaendelea vizuri hivyo wananchi wasiwe na hofu.
9 years ago
Mwananchi25 Aug
Daftari la wapigakura D’Salaam kizungumkuti
Uhakiki wa majina ya wananchi watakaokuwa na sifa za kupiga kura Oktoba 25, umeanza utekelezaji wake Dar es Salaam, huku katika baadhi ya kata vitabu vya majina vina taarifa zilizochanganywa.
10 years ago
Habarileo03 May
RC ahimiza kujiandikisha daftari la wapigakura
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe amewahimiza wananchi wenye sifa wakiwemo wafanyakazi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Uandikishaji wapigakura shakani kufanyika
 Zikiwa zimesalia siku 11 kabla ya kuanza kwa uboreshaji wa Daftari la Wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema bado inasubiri kuwasili kwa vifaa vya teknolojia itakayotumika kwenye mchakato huo, huku taasisi za wanaharakati wa Zanzibar zikisema Kura ya Maoni ni batili kutokana na kukiuka sheria.
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Uchaguzi umewadia, wapigakura wajitambue
Ni kipindi cha lala salama. Zimebaki siku nne tu kabla ya kupiga kura kuwachagua madiwani, wabunge na rais watakaoiongoza nchi yetu kwa miaka mitano ijayo.
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Silaa: Jiandikisheni Daftari la Wapigakura
Wakazi wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura ili waweze kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania