Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUTAAINISHA FURSA ZA KUIVUSHA TANZANIA KIMATAIFA

Na Saidi Mkabakuli
Serikali imeweka wazi mkakati wa kuainisha fursa za kipaumbele zitakazoiwezesha kuivusha nchi kikanda na kimataifa kwa kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kama inavyobainishwa na Mpango wa Kwanza wa Maendeleo wa Miaka Miaka Mitano (FYDP I) unaosimamiwa na  Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
Mkakati huo umewekwa wazi na Naibu Katibu Mtendaji mpya wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, anayeshughulikia Biashara za Kimataifa na Mahusianao ya Kiuchumi Bw....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Vijana wana nafasi kuivusha Tanzania kufikia MDG 2030

Malengo ya Milenia yalibuniwa Septemba 2000 na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Tanzania ikiwa ni mojawapo ya mataifa 189, ambayo yaliafiki kuanza kuyatekeleza kwa kipindi cha miaka 15, ambacho kinakamilika mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Watakiwa Kuchangamka Fursa za Biashar kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam DITF

Umetolewa mwito kwa Watanzania kuzichangamkia fursa mbalimbali za kibiashara, zinazoletwa na Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam,  DITF ambapo Maonyesho ya huu, yatajumuisha makampuni zaidi ya kimataifa toka nchi yatashiriki.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE, Bibi  Jaqueline Mneney Maleko wakati akizungumzia maandalizi ya Maonyesho ya 38  Kimataifa ya Dar es Salaam,  kwa waandishi wa Habari, ofisi za TANTRADE...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

NA EVELYN MKOKOI,DODOMA
Serikali  imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtandao una nguvu kuivusha, kuiadhiri CCM 2015 ?

NI takriban mwaka mmoja umesalia kabla ya kipyenga cha kuanza mchakato wa kusaka jina la mwana CCM atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu mwakani. Ni ukweli usiopingika kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) yazindua kinywaji kipya cha kimataifa, Fyfe’s Scotch Whisky katika soko la Tanzania

Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe’s.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya  Fyfe’s katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania na fursa chekwa katika teknolojia ya habari

Mwaka 2012 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipotembelea Atamizi ya Teknohama ya Dar es Salaam (DTBi), iliyo chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), aliainisha changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya sayansi na teknolojia pamoja na wagunduzi.

 

9 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAZIDI KUWAINUA VIJANA TANZANIA

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akimkabidhi kijana Iddy Abdallah Chilumba, msaada wa mashine ya kubangulia korosho vikiwemo meza, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya, kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla iliyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtel katika Mtaa wa Relwe, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utalii Tanzania, A.Kusini kukuza fursa za kiuchumi

HIVI karibuni ulifanyika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Utalii Cape Town Afrika Kusini na kuhudhuliwa na watu zaidi ya 360. Mkutano huo wa mwaka ulifunguliwa na Waziri wa Utalii wa...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA, AZURU KATIKA BANDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA, POLISI, MAGEREZA NA MENGINEYO

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Bi. Jackline Maleko, Mkurugenzi Mtendaji wa TANTRADE  alipowasili viwanjani hapo kutembelea Maonesho ya 39 ya Biashara ya kimataifa mapema. Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho ya Sabasaba lengo likiwa ni kutoa elimu kwa wananchi juu ya taratibu na huduma mbalimbali zinazotolewa. Katika Banda la Mahakama kuna uwakilishi wa Mahakama za Mwanzo, Wilaya, Mkoa/Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufani, Tume ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani