Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUWE PAMOJA KUMCHAGUA MAGUFULI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SABABU 5 ZA KUMCHAGUA MAGUFULI HIZI HAPA

Dk. John Magufuli (CCM) . Na Daniel Mbega ILIKUWA miezi, wiki na sasa zimesalia siku tu kabla Watanzania hawajaamua kumchagua rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Oktoba 25, 2015. Jumla ya wagombea nane wa vyama mbalimbali wanawania nafasi hiyo adhimu ya kupokea kijiti kutoka kwa Jakaya Kikwete wa CCM. Wananchi wakimshangilia Magufuli hayupo… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibeba CCM, asilimia 65 kumchagua Magufuli

Asilimia 62 ya wananchi wamesema wako karibu na CCM huku asilimia nyingine 65 wakisema watamchagua mgombea wa CCM, Dk. John Magufuli kuwa rais wa awamu ya tano, matokeo ya utafiti wa Twaweza yaeleza leo.

 

5 years ago

Michuzi

MANGULA AWEKA BAYANA SABABU ZA KUMCHAGUA TENA MAGUFULI

Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bara Mzee Philip Mangula leo tarehe 27 Juni, 2020 pamoja na mambo mengine, ameeleza sababu za kumchagua tena Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika uchaguzi ujao wa Mwezi Oktoba mwaka huu.

Mzee Mangula ameyasema hayo alipokuwa akitoa nasaha kwa makatibu wa wilaya zote nchini katika mafunzo yanayoendelea kwa watendaji hao Makao Makuu ya CCM Dodoma.

"Naamini mnajua kwamba, watakao fanya vibaya sijui...

 

9 years ago

Michuzi

PAMOJA NA KUWAOMBA KURA,MAGUFULI AWAASA WAVUVI KUTOFANYA UVUVI HARAMU.

 Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukihutubia maelfu ya wananchi wa kijiji cha Nkome,Geita Vijijini Mkoani Geita kwenye mkutano wa kampeni,Dk. John Pombe Magufuli aliomba kura za ndiyo kwa wananchi ili wamchague na kuwa rais wa Tanzania  katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote ukishirikisha vyama vingi vya siasa

Dk Magufuli akiwahutubia wananchi hao  ambao wengi wao ni wavuvi....

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA WAZIRI MKUU WA JAPAN PAMOJA NA SUDAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akialimiana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara mara baada ya kufanya nae Mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Kamal Ismail Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya nje...

 

9 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI RASMI URAIS, AAPISHWA LEO JIJINI DAR ES ASALAAM, NI PAMOJA NA MAKAMU WAKE, MAMA SAMIA


Wananchi wenye shauku ya kuona tukio la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dk. John Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa wamepanga foleni kuingia katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo asubuhi
Wananchi wakiwa wamejikinga mvua kwa mwavuli wakati mvua ilipokuwa ikinyesha kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, wakati wa tukio la kuapsihwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dk. John Magufuli na Makamu wa Rais Mama samia Suluhu Hassan leo

 

11 years ago

GPL

MAGUFULI AKAGUA MIZANI YA KISASA YA VIGWAZA MKOANI PWANI PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA KIBAMBA-KWEMBE-MAKONDEKO

Mhandisi kutoka Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Ndugu Kileo akimuonesha Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli jinsi Mzani mpya wa Vigwaza utakavyokuwa ukipima magari wakati yakitembea tofauti na mizani mingine nchini.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kazi ya ujenzi  inayofanyika katika Chuo Kikuu cha Muhimbili kilichopo katika eneo la Mloganzila Kibamba nje kidogo ya Jiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgeja: Tuwe makini na wawekezaji

KUKOSA usikivu kwa baadhi ya viongozi wa serikali waliopewa mamlaka pindi wanaposhauriwa kwa masuala mbalimbali yahusuyo mustakabali wa nchi, kumesababisha taifa kuzidi kukumbwa na majanga ya ujangili, kukithiri kwa usafirishaji...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA DARAJA LA NANGOO PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA NDUNDU —SOMANGA, AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUIKAMILISHA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amempa muda wa miezi miwili mkandarasi anayejenga barabara ya Ndundu-Somanga kufanya kazi usiku na mchana ili kumaliza kazi hiyo haraka bila kutoa visingizio vyovyote. Waziri wa Ujenzi aliitoa kauli hiyo leo katika kijiji cha Manzese, Wilayani Kilwa mkoani Lindi wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika eneo hilo la ujenzi. Aidha, Dkt. Magufuli alisema kuwa mkandarasi huyo ameshalipwa fedha zote alizokuwa ana dai hivyo anachotakiwa ni kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani