Tuzo za Kili zichague muziki bora siyo maarufu
Tuzo maarufu za muziki nchini ‘Kilimanjaro Music Award’ zinazoratibiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa kushirikiana na kampuni ya bia (TBL) zinatarajiwa kufanyika Mei 3 kwenye Uukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLFID Q NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA KILI NA MUZIKI WA HIP HOP
Rapper Farid Kubanda a.k.a Fid Q akipozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers Ltd. Fid Q akiwa na waandishi wa Championi, Sweetbert Lukonge (kulia) na Nicodemus Jonas.…
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m8_7P9qWSQk/VPFjHmDlawI/AAAAAAAHGbg/lG3ff_aN4zw/s72-c/unnamed.jpg)
TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-m8_7P9qWSQk/VPFjHmDlawI/AAAAAAAHGbg/lG3ff_aN4zw/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-snHdalURuNk/VPFjCg8JaTI/AAAAAAAHGaY/g4Y3NYL8u7I/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KgUMH0I5cGI/VPFjEPnCOWI/AAAAAAAHGas/dZIVjUoQAw0/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d*xx8iAX09WQJXWKZcHjE2z*hoi5eGA3lo9mwVBFBstZB8vcfbY6jm*ijhWBtIy8I0DSfv7jCi*72IjJqTmNITYuDNeD164J/1.jpg)
KIFO CHA MWANASIASA MAARUFU; KUMBE SIYO KOMBA
Stori:GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH/Risasi
HUKU maelfu ya Watanzania wakiamini kwamba, kifo cha aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba ndiyo kile kilichotabiriwa na mnajimu Maalim Hassan Hussein Yahya, mwenyewe ameibuka na kusema sicho! Marehemu Kapteni John Damiano Komba.…
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Mwanamuziki Maarufu wa Tanzania aacha muziki kutokana na msongo wa mawazo
Vanessa mdee ni miongoni mwa wanamuziki maarufu wa kike nchini Tanzania na barani Afrika.
11 years ago
Mwananchi03 May
MAONI: Kili fikirieni na kutuza muziki mzuri
>Usiku wa tuzo za muziki za Tanzania, zilitopachikwa jina la Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) ni leo ambapo wasanii zaidi ya 32 watatunukiwa tuzo maalumu kwa kazi nzuri ya sanaa waliyoifanya mwaka jana, ikiwa ni moja ya kati ya hatua zitakazosaidia kuleta hamasa zitakazosaidia kuupeleka muziki wetu katika kilele cha mafanikio.
5 years ago
BBCSwahili21 Mar
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Ken Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81
Ken Rogers aliyefahamika kwa wimbo kama vile The Gambler, "ameacha historia siyoweza kufutika " katika muziki, imesema familia yake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania