Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twaweza wazua mjadala

mtz1NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

UTAFITI uliofanywa na Taasisi ya Twaweza umepokewa kwa hisia tofauti na watu wa kada mbalimbali.

Kwa mujibu wa utafiti huo uliotangazwa jana, kama uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani ungefanyika leo, mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, angeibuka na ushindi wa asilimia 65, huku mgombea wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, akipata asilimia 25.

 

Akitangaza matokeo ya Twaweza Dar es Salaam  jana, Mkurugenzi Mtendaji...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab wazua mjadala Kenya

Mashambulizi ya wapiganaji wa kundi la Al Shaabab nchini Kenya, limezusha mjadala mkali miongoni mwa viongozi wa eneo hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Umri wa Miss Tanzania wazua mjadala

Baada ya Bi Sitti kutwaa taji hilo kumeibuka utata juu ya umri wa Miss Tanzania 2014. Kwa nini umri wa Miss Tanzania uzeu hoja?

 

9 years ago

Vijimambo

Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze akihojiwa na wanahabari
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...

 

10 years ago

TheCitizen

Eyakuze new Twaweza boss

Twaweza East Africa yesterday announced the appointment of Aidan Eyakuze as its new boss, as successor of the founder and current head, Rakesh Rajani.

 

10 years ago

TheCitizen

Experts’ take on Twaweza research

The Citizen on Sunday sought views from experienced researcher, Mr Aidan Eyakuze on the research results published by twaweza. here is what he said;

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lipumba: Twaweza wanatumika

SIKU mbili baada ya Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza kutoa matokeo ya utafiti kuhusu masula ya siasa, jamii imegawanyika. Mgawanyiko umezua pande mbili moja ikiunga mkono utafiti huo nyingine...

 

10 years ago

Michuzi

TWAWEZA: JE, TUKO SALAMA?

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
 WANANCHI watatu kati ya kumi  wameshakumbana na  wizi ndani ya kipindi cha mwaka  jana,na asilimia 84 ya wananchi  wanaamini kuwa kuna uwezekano wa kuathiriwa na makundi ya vijana waharifu kama panya road.
 Hayo yameelezwa kwenye Utafiti umefanywa na Twaweza kwenye utafiti wenye jina la Je, tuko salama? maoni ya wananchi juu ya usalama na haki waliofanya mkutano katika ukumbi wa mikutano  wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mtafiti wa twaweza...

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti wa Twaweza watikisa nchi

Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa nchini, umeibua madai mapya ambayo yanauhusisha na jitihada za kukisaidia chama tawala CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibua maswali 14

Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani