Twiga Stars, Ivory Coast mtihani mkubwa
TIMU ya soka ya taifa ya wanawake Twiga Stars leo inashuka uwanjani kumenyana na wenzao wa Ivory Coast kwenye michuano ya Afrika (All Africa Games) inayofanyika Congo Brazzavile. Twiga Stars iliondoka nchini juzi pamoja na wachezaji wa michezo mingine kwa ndege maalumu tayari kwa kushindana.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Aug
Twiga Stars kufungua dimba na Ivory Coast
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imepangwa kufungua dimba na Ivory Coast katika fainali za Michezo ya Afrika inayoanza Septemba 4, mwaka huu jijini Brazzaville katika Jamhuri ya Congo.
9 years ago
Michuzi28 Aug
TWIGA KUFUNGUA DIMBA NA IVORY COAST
![](http://tff.or.tz/images/tanzanite.png)
9 years ago
Bongo525 Aug
Nina mtihani mkubwa wa kuipiku Imebaki Story — Hemedy PHD
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Mtihani mkubwa kwa ANC, Rais Zuma bila ya Nelson Mandela
9 years ago
Bongo529 Oct
Suma Mnazareti adai kujua mashabiki wanataka muziki upi ndio mtihani mkubwa
11 years ago
BBCSwahili19 Jun
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Ivory Coast yanusurika
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80477000/jpg/_80477983_doumbia.jpg)
Ivory Coast v Mali
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80760000/jpg/_80760937_ivcoast_drcongo.jpg)
DR Congo v Ivory Coast