Twiga Stars yapigwa, yafuzu All Africa Games
![](http://api.ning.com:80/files/9whBoo1pTWNN1Ml3i0OZNSmyKgN-ReViIDsWHmhVBFnCg5gKEmZpRPuAIVDR7IYIerZ8EfW1y-YqGV9jGrFJZlk6xt1pL1gx/Twiga.jpg?width=650)
Wachezaji wa Twiga Stars wakishangilia goli. Na Ibrahim Mussa, Dar es Salaam TWIGA Stars imefuzu kushiriki Michezo ya Afrika ‘All African Games’ itakayofanyika Congo Brazzaville, Septemba mwaka huu, licha ya kufungwa mabao 3-2 na Zambia ‘Shepolopolo’ jana Ijumaa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hiyo imefuzu kwa jumla ya mabao 6-5, kwani katika mchezo wa awali nchini Zambia, Twiga ilishinda...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen01 Sep
Twiga Stars, swimmers off to Brazzaville for Africa Games
9 years ago
TheCitizen03 Sep
TZ sports officials still mum over Twiga Stars trip to Africa Games
10 years ago
Mwananchi11 Apr
Twiga Stars yafuzu kwa kipigo
10 years ago
Mtanzania11 Apr
Twiga Stars yafuzu michezo Afrika
MSHAMU NGOJWIKE NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’, jana ilifuzu kwa mbinde fainali za Michezo ya Afrika ‘All African Games’ baada ya kuchapwa mabao 3-2 na Zambia ‘Shepolopolo’.
Licha ya kipigo hicho, Twiga Stars imenufaika na ushindi wa mabao 4-2 iliyoupata kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika wiki mbili zilizopita jijini Lusaka, Zambia na hivyo kufuzu kwa jumla ya mabao 6-5.
Fainali za michuano hiyo zimepangwa kufanyika Congo, Brazzaville...
9 years ago
TheCitizen06 Sep
Twiga Stars embark on Games campaign
10 years ago
TheCitizen02 Apr
SOCCER:Kaijage optimistic Twiga will qualify for All Africa Games
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).
Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u8m0F01QrxE/Vek3QhaHF4I/AAAAAAAH2RU/G-nx9VtGdNk/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
![](http://1.bp.blogspot.com/-u8m0F01QrxE/Vek3QhaHF4I/AAAAAAAH2RU/G-nx9VtGdNk/s640/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-goCfa6KsvIs/Vek3Qilfi5I/AAAAAAAH2RM/SAuGOh-elQ0/s640/unnamed%2B%252878%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi12 Oct
STARS YAFUZU HATUA YA PILI
![](http://tff.or.tz/images/starskamuzu.png)