STARS YAFUZU HATUA YA PILI
TANZANIA imetimiza ndoto za kutinga hatua ya mwisho ya mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia, licha ya kufungwa 1-0 na Malawi jioni ya leo katika Uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre.
Tanzania inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1, baada ya Jumatano kushinda 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya mchujo.Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa wa Angola, Martins de Carlvalho aliyesaidiwa na Gadzikwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Nigeria yafuzu raundi ya pili
10 years ago
Michuzi06 Feb
DRFA yataja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam
Ligi hiyo ya mkoa...
10 years ago
Mtanzania11 Apr
Twiga Stars yafuzu michezo Afrika
MSHAMU NGOJWIKE NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’, jana ilifuzu kwa mbinde fainali za Michezo ya Afrika ‘All African Games’ baada ya kuchapwa mabao 3-2 na Zambia ‘Shepolopolo’.
Licha ya kipigo hicho, Twiga Stars imenufaika na ushindi wa mabao 4-2 iliyoupata kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika wiki mbili zilizopita jijini Lusaka, Zambia na hivyo kufuzu kwa jumla ya mabao 6-5.
Fainali za michuano hiyo zimepangwa kufanyika Congo, Brazzaville...
10 years ago
Mwananchi11 Apr
Twiga Stars yafuzu kwa kipigo
10 years ago
GPLTwiga Stars yapigwa, yafuzu All Africa Games
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
James Ward atinga hatua ya pili
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Timu ya Ikulu mpira wa miguu yatinga hatua ya pili SHIMIWI
Wachezaji wa timu ya Ikulu wakiwa pamoja kuomba dua kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya timu ya RAS Simiyu katika mashindano ya SHIMIWI leo uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Timu ya mpira wa miguu ya Ikulu imedhihirisha ubora wake katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi inayoshirikisha Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa kumaliza mechi nne katika kundi B bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa.
Ubora huo unaifanya timu ya Ikulu kuwa ni timu...
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
112 wafanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili shindano la Tanzania Movie Talents jijini Mwanza
Majaji wa Shindano la Kusaka la Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo wakati wa Zoezi la kusaka vipaji vya uigizaji kuingia Hatua ya pili kwa washiriki waliofanikiwa kupita kwenye mchujo.Kulia ni Single Mtambalike (Rich Rich), Ivon Chery (Monalisa) na Roy Sarungi.
Washiriki waliofanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili wakifanyiwa usaili kwa ajili ya hatua ya pili sasa.
Muongozaji wa Mradi wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza...
11 years ago
MichuziTFF KUWACHUKULIA HATUA ZAIDI WAWILI TWIGA STARS
Kocha Kaijage aliwatimua kambini wachezaji Mwapewa Mtumwa na Flora Kayanda kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu wakati Twiga Stars ikijiandaa kwa mechi ya marudiano ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Zambia.
Twiga Stars ilipoteza mechi ya kwanza ugenini mabao 2-1 na kutoka sare ya...