Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria yafuzu raundi ya pili

Super Eagles ya Nigeria ndiyo timu ya kwanza Afrika katika raundi ya pili

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

STARS YAFUZU HATUA YA PILI

TANZANIA imetimiza ndoto za kutinga hatua ya mwisho ya mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia, licha ya kufungwa 1-0 na Malawi jioni ya leo katika Uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre.

Tanzania inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1, baada ya Jumatano kushinda 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya mchujo.

Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa wa Angola, Martins de Carlvalho aliyesaidiwa na Gadzikwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray kucheza raundi ya pili Wimbledon

Andy Murray na Waingereza wenzake watatu wamefuzu kucheza raundi ya pili ya michuano ya tenis ya Wimbledon

 

11 years ago

BBCSwahili

Messi aifikisha Argentina raundi ya pili

Bao la dakika ya mwisho la Lionel Messi dhidi ya Iran lilitosha kuifikisha Argentina mkondo wa pili

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil kuchuana na Chile raundi ya pili

Brazil iliifunga cameroon 4-1 na kuiongoza kundi A ambapo sasa itachuana na Chile.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raundi ya pili taifa Cup wanawake Jumamosi

Mechi za kwanza za raundi ya pili ya mashindano ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanawake-Tanzania zina chezwa wikiendi hii

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahimiza maandalizi raundi ya pili Ligi Kuu

RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaanza Januari 22 kwa timu 14 kuendelea na kampeni ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo unaoshikiliwa na Yanga, waliomaliza ngwe ya kwanza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanamgambo walipua dara la pili Nigeria

Wakaazi wa kazkazini mashariki mwa Nigeria wanasema kuwa washukiwa wa kundi la Boko haramu wamelilipua daraja jingine .

 

11 years ago

BBCSwahili

Kifo cha pili kutokana na Ebola Nigeria

Nigeria imeripoti kifo cha pili kutokana na homa kali ya Ebola ambayo imekuwa janga kubwa katika kanda ya Afrika Magharibi

 

10 years ago

Mwananchi

Bilionea wa Nigeria amtuliza mshindi wa pili Big Brother kwa Sh607 milioni

Bilionea Ayiri Emami, ametoa kitita cha Dola za Marekani 350,000  (Sh607 milioni), kwa mshindi wa pili wa mashindano ya Big Brother Hotshots 2014, Tayo Faniran.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani