Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TYLER PERRY NA RAFIKI YAKE WA KIKE WANATARAJIA MTOTO. Nov15.


Tyler Perry akiwa na rafiki yake wa kike Gelila Bekele ambaye ametangaza kuwa ni mjamzito wakitarajia mtoto wao wa kwanza hivi karibuni kwa mujibu wa Hollywood life.com .
Msichana huyo ambaye ni Muethipoia amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ya muda mrefu na Tyler ambapo wamekuwa wakiachana na kurudiana kwa huo muda wote.Tyler alifyatua habari hizo katika sherehe yake ya bethdei yake alipogonga miaka 45 akidai anajiandaa kwa maisha ya kutolala usiku na kukosa usingizi akiongeza kwamba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HII NI ISHARA KWAMBA DIAMOND NA ZARINAH WANATARAJIA KUPATA MTOTO WA KIKE


Remember that you'll never have to fight for a spot in the life of someone who truly loves, respects, or cares about you.....it shld be mutual!!!!"-ZARI 

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA KIKE ABURUZWA NA BABA YAKE MTAA MZIMA KWENYE PIKIPIKI KWA KUTOKWENDA SHULE


Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa  mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira
Na Valence Robert-Geita
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani. Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule...

 

9 years ago

Mtanzania

T.I na Tiny wanatarajia mtoto wa pili

2012 MTV Movie Awards - ShowNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa hip hop nchini Marekani T.I na mke wake, Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa pili hivi karibuni

Endapo watafanikiwa kupata mtoto huyo basi T.I atakuwa na jumla ya watoto sita, lakini kwa Tiny atakuwa na watoto watatu.

“Ni furaha kubwa kuona familia yetu inaongezeka, tunatarajia kupata mtoto hivi karibuni, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu,” alisema Tiny.

T.I ni miongoni mwa wasanii ambao wana watoto wengi nchini Marekani kama vile DMX ambaye ana watoto 12.

Kupitia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Akataa mumewe kuwa na rafiki wa kike

Mwanamuziki Mary J Blige kutoka Marekani amekataa kumkubalia mumewe kuwa na rafiki wa kike.Je,kunani?

 

9 years ago

Bongo5

Omarion na girlfriend wake wanatarajia kupata mtoto wa pili

Mwimbaji wa R&B wa Marekani ambaye ni baba wa mtoto mmoja, Omarion na girlfriend wake wa muda mrefu aitwaye Apryl Jones wanajiandaa kumpokea mtoto wao wa pili. Mwimbaji huyo wa ‘Post to Be’ ametumia akaunti zake za mitandao ya kijamii kushare na mashabiki wake kuwa girlfriend wake ni mjamzito na anatarajia kujifungua mtoto wa kike. […]

 

9 years ago

Bongo5

John Legend na mkewe wanatarajia kupata mtoto wa kwanza

Couple ya mwimbaji John Legend na mkewe Chrissy Teigen imejawa na furaha baada ya kufanikiwa zoezi walilojaribu kwa muda mrefu bila mafanikio la kupata mtoto wao wa kwanza. Teigen ameeleza furaha yake ya kuwa mjamzito kupitia Instagram kwa kushare picha akiwa na mumewe anayeonekana akimshika tumbo na kuandika; “John and I are so happy to […]

 

9 years ago

Bongo5

T.I na mkewe Tiny wanatarajia kupata mtoto wao wa tatu

Ti and Tiny

Rapper T.I wa Marekani na mkewe Tameka “Tiny” Cottle-Harris wanatarajia kupata mtoto mwingine atayefikisha idadi ya jumla ya watoto saba wa familia yao.

Ti and Tiny

Taarifa hizo zilitolewa na Tiny December 25 kupitia Instagram.

T.I na Tiny tayari wana watoto wawili, King na Major waliowapata pamoja, huku T.I akiwa ni baba wa watoto wengine watatu, Messiah, Domani na Deyjah aliowapata kwenye mahusiano yake yaliyopita, na Tiny naye ni mama wa mtoto mmoja wa kike Zonnique aliyempata kwenye uhusiano wake...

 

10 years ago

Bongo5

Hamisa Mobeto na mchumba wake Dj Majey wa E-FM wanatarajia kupata mtoto

Leo Dec.10 ni birthday ya mwanamitindo mrembo Hamisa Mobeto a.k.a kadomo ambaye ni ubavu wa mmoja wa wakurugenzi wa E-FM ambaye pia ni Dj, Dj Majey. Kama ilivyo kawaida kwenye siku kama hizi wapenzi hutakiana heri ya siku ya kuzaliwa, kitu ambacho hata Majey kakifanya kwa Hamisa, lakini wishes hizo zimeambatana na kuweka wazi kuwa […]

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili

H.Baba amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili. Akizungumza na 255 ya XXL leo, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake. “Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa tena,” alisema. “Nikwambie kitu kimoja mimba […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani