Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uachishaji kazi na taratibu zake — (2)

WIKI iliyopita nilisema kwamba kuna baadhi ya waajiri huajiri na kuachisha kazi au kufukuza wafanyakazi wao bila kufuata utaratibu uliowekwa katika sheria za kazi katika Sheria ya Ajira na Mahusiano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uachishaji kazi na taratibu zake

UTARATIBU wa kuajiri na kuachisha kazi umetolewa na kuonyeshwa katika sheria mbalimbali hapa nchini. Miongoni mwa sheria hizo ni Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya Mwaka 2004 (Na. 6...

 

10 years ago

Mwananchi

Haki ya migomo katika ajira na taratibu zake kisheria

Ni jambo la kawaida kwa watu kutokubaliana katika mambo ya msingi yanayogusia uhusiano wao kiajira, mfano ongezeko la mshahara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

APRM na kazi zake

MACHI 9 ya kila mwaka, Tanzania huungana na nchi nyingine za Afrika wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) kuadhimisha siku hiyo. Maadhimisho hayo yalipitishwa Januari mwaka jana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ijue kompyuta na kazi zake

KOMPYUTA ama Takirishi kwa kiswahili fasaha ni mashine au chombo cha kielektroniki chenye uwezo wa kupokea taarifa, kufanya hesabu, kushughulikia au kufanyia kazi na kutoa matokeo ya kazi hiyo na...

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA MITIHANI LATOA TAARIFA YA KAZI ZAKE

Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Necta, Daniel Mafie, akizungumza jambo na wanahabari (hawapo pichani).…

 

11 years ago

CloudsFM

BARNABA BOY APATA MANAGER WA KUMSIMAMIA KAZI ZAKE

Msanii wa Bongo Fleva,Barnaba Boy Classic kwa mara ya kwanza ametafuta meneja tangu aanze rasmi ‘game’ ya muziki wa Bongo Fleva.Barnaba ameamua kutafuta mtu wa ku'manage' kazi zake za muziki ndani na nje Tanzania pamoja na michongo yote ya kijamii na mitonyo, hajawahi kufanya hivi tangu atoke na wimbo wake Wrong Number mwaka 2009, na meneja wake ni Lumuliko Mengele.Barnaba huyu hapa anafunguka.

 

9 years ago

Michuzi

IGWUTA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KAZI ZAKE

Na Zainabu Hamis wa Globu ya Jami.CHAMA cha wafanyakazi wa viwanda na sekta mbalimbali(IGWUTA) champongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli (Pichani)kwa namna na jinsi anavyofanya kazi yake hasa ile ya kupambana na mafisadi na wanafiki.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Katibu Mkuu wa chama chama cha IGWUTA, Michael Kashamba amesema kuwa,Wamefurahishwa kwa  kumpata Rais Magufuli na wanatoa wito kwa Wafanyakazi wote hapa nchini kujitokeza na kumuunga...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwenye malengo ya kweli maishani atapangilia utendaji wa kazi zake

Swali: Nimekuwa nikivutiwa na mada zako. Mimi nimekuwa nikitamani kuwa mfanyabiashara mkubwa lakini nina tatizo la kutekeleza yale niliyopanga. Mara nyingi hupanguka kutokana na matatizo mengine. Naomba kujua nitumie mbinu gani ili kuwa na mafanikio? Mimi Geofrey Jafar ni mfanyabiashara mkoani Mbeya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani