Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ualimu ngazi ya cheti usifutwe sasa

Ualimu ni wito. Huo umekuwa ni usemi maarufu ambao umetumika katika jamii yetu kwa muda mrefu, lakini unahitaji kuangaliwa upya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ualimu ngazi ya cheti wafutwa

SERIKALI imefuta rasmi mafunzo ya ualimu ngazi ya Cheti yaliyokuwa yakitolewa katika Vyuo vya Ualimu Daraja la A vilivyopo sehemu mbalimbali nchini. Kufuatia kufutwa kwa mafunzo ya cheti, watakaochukuliwa kwa ajili ya masomo ya ualimu kwenye vyuo vya ualimu wa diploma ni waliopata daraja la tatu na kuendelea na watakapohitimu mafunzo ya miaka miwili ya Diploma (Stashahada) ya ualimu watapangiwa kufundisha kuanzia shule za awali za serikali, msingi na sekondari.

 

10 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA: SASA NAACHIA NGAZI

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba. Imelda Mtema, Zanzibar

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba amefungua kinywa chake na kusema kuwa mwaka huu lazima aachie ngazi ili awapishe wengine waendeleze gurudumu. Akizungumza na gazeti hili juzi mjini hapa, Mwakifwamba alisema kuwa muda aliokaa madarakani unatosha hivyo ni vyema akawapisha wengine wenye vigezo vya kuongoza. ...Soma...

 

11 years ago

Michuzi

NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA

USAJILI NA.TLF/011P NAMBA YA KITUO CHA MITIHANIE.643.
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014 - 2015   NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NA CHILD DEVELOPMENT - 2014-2015 ADA YA MWAKA MOJA PAMOJA NA HOSTEL NI MILLIONI MOJA (1,000,000) UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU NNE NDANI YA MWAKA MMOJA.   FORM ZA SHULE ZINAPATIKANA   kwa maelezo zaidi wasiliana na njia ya barua pepee; rugemba@gmail.com   REGEMBA CHUONI -0753 038336 DAR ES SALAAM -BOKO...

 

11 years ago

Michuzi

NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU CHA RUNGEMBA, MAFINGA, IRINGA

CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA - USAJILI NA. TLF/011P- NAMBA YA KITUO CHA MITIHANI E.643.
1. MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA (SECONDARY) 'DIPLOMA IN SECONDARY' (DSEE) KWA MIAKA 2 Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha sita (v1) na ufaulu wa principal (1) subsidiary (1)   2. UALIMU DARAJA LA 111-A - NGAZI YA CHETI (CATCE) - KWA MIAKA 2. Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne (1V) na ufaulu wa alama 26-27 (kwa mwaka 2004-2012) au alama 32-34 (kwa mwaka2013)   3. MAFUNZO...

 

10 years ago

Habarileo

Mafunzo ualimu

UKOSEFU wa fedha kwa mwaka 2013/14 na mwaka 2014/15, umeyafanya mafunzo ya vitendo kwa walimu nchini yatolewe kwa muda chini ya wiki nane, tofauti na maelekezo ya mtaala wa mafunzo ya ualimu unavyoelekeza.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wa ualimu waonywa

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk Primus NkweraWANAFUNZI wanaotarajia kujiunga na mafunzo ya Stashahada ya Ualimu wa Shule ya Msingi (ODPE) na Sekondari, wamepewa angalizo juu ya utaratibu wa kuomba udahili, wakisisitizwa vyuo haviruhusiwi kudahili moja kwa moja.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi wa ualimu auawa

MWANAFUNZI wa ualimu aliyekuwa anasoma mwaka wa Pili katika Chuo cha Ualimu Rukwa, Manispaa ya Sumbawanga, Zakayo Anosisye (25) ameuawa na watu wasiofahamika.

 

11 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI YA UALIMU BAGAMOYO



Shule ya sekondari ya wasichana ya Premier iliyoko Kiromo Bagamoyo inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo

ENGLISH
SWAHILI
BOOKKEEPING
COMMERCE

Fika shuleni Kiromo kwa kuleta maombi yako siku ya mahojiano ni tarehe 22 na 23 May 2014 au kwa maelezo zaidi piga simu namba 0715836237

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani