Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKIFWAMBA: SASA NAACHIA NGAZI

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba. Imelda Mtema, Zanzibar

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba amefungua kinywa chake na kusema kuwa mwaka huu lazima aachie ngazi ili awapishe wengine waendeleze gurudumu. Akizungumza na gazeti hili juzi mjini hapa, Mwakifwamba alisema kuwa muda aliokaa madarakani unatosha hivyo ni vyema akawapisha wengine wenye vigezo vya kuongoza. ...Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA KITANZINI, ATAKIWA KUACHIA NGAZI!

  HAMIDA HASSAN
KIBANO! Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba amejikuta kwenye wakati mgumu kwenye mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika kwenye ofisi za shirikisho zilizopo Kinondoni, Dar akitakiwa kuachia ngazi.
Habari kutoka kwa sosi aliyekuwa ndani ya kikao hicho zilinyetisha kwamba, wanachama wa shirikisho hilo walisema wamechoshwa na rais huyo na kwa sababu muda wake umekwisha, alitakiwa kuachia...

 

10 years ago

Mwananchi

Ualimu ngazi ya cheti usifutwe sasa

Ualimu ni wito. Huo umekuwa ni usemi maarufu ambao umetumika katika jamii yetu kwa muda mrefu, lakini unahitaji kuangaliwa upya.

 

10 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AWABWATUKIA BONGO MOVIE

Na GLADNESS MALLYA RAIS wa Shirikisho la Filamu Bongo ‘TAFF,’ Simon Mwakifwamba amewabwatukia wasanii wanaodai  shirikisho hilo limeanguka baada ya baadhi yao kujiunga na Bongo Movie Unity. RAIS wa Shirikisho la Filamu Bongo ‘TAFF,’ Simon Mwakifwamba.
Akizungumza kwa hisia kali na gazeti hili, Mwakifwamba alisema, TAFF ni taasisi kubwa na ipo kwa ajili ya kushughulikia mambo yenye tija kwenye...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mwakifwamba Alia na Hali za Wasanii

RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba ameshikwa na huzuni akishuhudia maisha ya wasanii wa filamu yakishuka ghafla na kukosa msaada kutoka sehemu nyingine baada hali ya soko kushuka na baadhi ya wasanii kukosa sehemu ya kuuza kazi zao.

Tasnia ya filamu imeyumba sana sababu ya mfumo wa usambazaji ulivyo, maisha ya wasanii wetu yanasikitisha kwani lazima wauze haki zao za filamu ili wapate pesa, mnunuzi hanunui tena, tushukru kampeni hizi angalau wapo bussy,”...

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AIANGUKIA GLOBAL PUBLISHERS

Stori: Joseph Shaluwa
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba ameiomba radhi Kampuni ya Global Publishers Ltd inayochapisha magazeti ya Uwazi, Amani, Ijumaa, Risasi, Ijumaa Wikienda na Championi kwa maneno aliyowahi kuyatoa siku za nyuma kuhusu wasanii kuandamwa na magazeti hayo. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba akiongea na wanahabari wa Global...

 

9 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AWATEMEA CHECHE WASANII

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba. Gladness mallya RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba amewatemea cheche wasanii na kuwataka kuachana na kuendekeza kupokea fedha za wanasiasa tu bila kutetea masilahi yao. Akistorisha na paparazi wetu, Mwakifwamba alisema kwa sasa tasnia ya filamu imekufa kabisa hivyo wasanii wanaopata nafasi ya kuzunguka na...

 

11 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA AWAINGIZA CHAKA BONGO MUVI

Hamida Hassan na Gladness Mallya
WASANII wa sinema wanaounda Kundi la Bongo Muvi, wamemshutumu Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba kwamba amewaingiza chaka katika uteuzi wa mjumbe anayewawakilisha katika Bunge la Katiba lililoanza juzi mjini Dodoma. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba. Wakizungumza katika kikao cha dharura kilichoitishwa ghafla Jumatatu iliyopita kwenye viwanja vya...

 

11 years ago

GPL

BUNGE LA KATIBA; MWAKIFWAMBA, BATULI WAKWAA SKENDO

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
WAKATI mchakato wa Bunge la Katiba ukianza leo mjini Dodoma, ishu hiyo imemtia kwenye tope Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba baada ya kukwaa skendo ya ‘kutoka’ na mwigizaji Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ walipotimba mkoani humo. Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Kwa mujibu wa staa wa filamu ambaye aliachwa katika safari hiyo ya kwenda...

 

10 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MORO

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba. RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba jana usiku amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupata ajali na kupinduka eneo la Mkindu jirani na mizani mkoani Morogoro. Mwakifwamba alipata ajali hiyo wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki 'bodaboda' baada ya gari lake aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T 176 CYM kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani