MWAKIFWAMBA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MORO

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba. RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba jana usiku amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupata ajali na kupinduka eneo la Mkindu jirani na mizani mkoani Morogoro. Mwakifwamba alipata ajali hiyo wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki 'bodaboda' baada ya gari lake aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T 176 CYM kupata...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog01 Nov
Mwanajeshi wa JWTZ Zanzibar anusurika kifo katika ajali ya gari kijiji cha Kibele, Zanzibar
Gari hilo kama linavyoonekana baada ya ajali hiyo
Na Mwandishi Wetu.
[Unguja-ZANZIBAR] Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF) imeelezwa kuwa amenusurika katika ajali ya gari iliyotokea mchana wa leo Novemba Mosi, eneo la kijiji cha Kibele, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo kasi wa gari hiyo.
Kwa mujibu wa shuhuda wa taarifa ya tukio hilo: “ Ajali imetokea mchana huu kwenye saa 8.10 ambayo imemhusisha askari wa Jeshi la Ulinzi...
11 years ago
GPL
LOWASSA ANUSURIKA KIFO AJALI YA NDEGE
11 years ago
IPPmedia26 Jan
Waziri anusurika kifo ajali ya ndege
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Keisha anusurika kifo kwenye ajali
Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani’Keisha’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba,Posta jijini Dar.
Akizungumza na Clouds Fm alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na kumuovateki na kuligonga gari lake. Aidha alisema kuwa alisikia maumivu na alipokwenda hospitali kufanyiwa vipimo vilionyesha hakupata majeraha kwa ndani.
‘’Nashukuru Mungu nilipimwa hospitali vipimo vilionyesha sikupata madhara...
11 years ago
CloudsFM26 Sep
STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI
ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni.
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco,Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Sugu anusurika kifo, apata ajali mlima Kitonga
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Balozi wa CCM anusurika katika ajali ya moto
Mwenyekiti wa CCM manispaa ya Singida, Hamisi Nguli (wa pili kulia), akimpa pole balozi na mjumbe wa kamati ya siasa ya mtaa wa Mwenge mjini Singida, Tatu Juma Mohammed (kushoto) kwa nyumba yake kuungua moto na kuteketeza baadhi ya mali.Wa kwanza kulia ni katibu wa uchumi na fedha wa CCM jimbo la Singida mjini.
Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa jimbo la Singida mjini, Hassani Mazala akiwa na katibu CCM manispaa ya Singida, Magdalena Ndwete, nyumbani kwa balozi na mjumbe wa kamati...
10 years ago
GPLMWENDESHA PIKIPIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI MOROCCO
10 years ago
Michuzi
mtu mmoja anusurika katika ajali ya gari eneo la Kibele, Zanzibar, leo
