Sugu anusurika kifo, apata ajali mlima Kitonga
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amenusu kifo baada ya gari aliyokuwa akisafiria kupata ajali katika eneo la mlima Kitonga mkoani Iringa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMBUNGE WA MBEYA MJINI APATA AJALI MLIMA KITONGA
10 years ago
MichuziBREAKING NYUUZZZZ.......: MH. SUGU APATA AJALI
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Keisha anusurika kifo kwenye ajali
Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani’Keisha’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba,Posta jijini Dar.Akizungumza na Clouds Fm alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na kumuovateki na kuligonga gari lake. Aidha alisema kuwa alisikia maumivu na alipokwenda hospitali kufanyiwa vipimo vilionyesha hakupata majeraha kwa ndani. ‘’Nashukuru Mungu nilipimwa hospitali vipimo vilionyesha sikupata madhara...
11 years ago
IPPmedia26 Jan
Waziri anusurika kifo ajali ya ndege
11 years ago
GPLLOWASSA ANUSURIKA KIFO AJALI YA NDEGE
10 years ago
GPLMWAKIFWAMBA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MORO
10 years ago
CloudsFM26 Sep
STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI
ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni.Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco,Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.
10 years ago
GPLABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MLIMA NYOKA, MBEYA
10 years ago
GPLGARI LAINGIA MTARONI LIKIPANDA MLIMA KITONGA