Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NYUUZZZZ.......: MH. SUGU APATA AJALI

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi akifanya mawasiliano kwa ndugu na jamaa mara baada ya kupata ajali mbaya na kunusurika kifo,ajali hiyo imetokea eneo la Mlima Kitonga Mkoani Iringa mchana wa leo.kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa Mh. Mbilinyi alikuwa safarini akitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar akiwa na jamaa zake Wanne katika gari hilo lenye namba za usajili T 148 BQE. katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sugu anusurika kifo, apata ajali mlima Kitonga

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amenusu kifo baada ya gari aliyokuwa akisafiria kupata ajali katika eneo la mlima Kitonga mkoani Iringa.

 

11 years ago

GPL

GABO APATA AJALI

Stori: Deogratius Mongela
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ Akizungumza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC wa Karagwe apata ajali

MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA APATA AJALI

MWANADADA Bongo Movies, Shamsa Ford amenusurika kifo baada ya gari lake kugongana na lingine. Mwanadada Shamsa Ford. Akichonga na paparazi wetu, Shamsa alisema tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Sayansi akiwa na gari aina ya Noah aliligonga gari aina ya Vitz na magari yote yakaharibika vibaya lakini bahati nzuri hawakuumia. “Kweli ni Mungu tu maana ajali ilikuwa mbaya, nashukuru sijaumia ila gari langu ndilo...

 

9 years ago

Vijimambo

NAPE APATA AJALI

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam.

Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Lindi alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka mara kadhaa katika eneo la Nyangao mkoani Lindi.

Katika gari hilo, Nape alikuwa peke yake na ndiye alikuwa akiendesha gari hilo ambapo amepata majeraha...

 

11 years ago

GPL

LUNGI APATA AJALI MBAYA

MASKINI! Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari na kupata majeraha mbalimbali mwilini. Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga. Lungi alipata ajali hiyo maeneo ya Tegeta, jijini Dar akiwa kwenye gari lake ambapo aligongwa na lori lililokuwa limebeba mchanga na kusababisha aumie zaidi usoni na mguuni na kushonwa nyuzi tisa. “Namshukuru Mungu nimeponea chupuchupu kwani...

 

11 years ago

GPL

WASTARA APATA AJALI TENA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAJANGA! Siku chache baada ya hivi karibuni kudaiwa kunywa sumu, staa mkubwa wa sinema Bongo, Wastara Juma amepata tena ajali mbaya. Habari za uhakika zilizolifikia gazeti namba wani la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda mwishoni mwa wiki iliyopita zilieleza kuwa siku ya tukio Wastara alitoka nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar na gari lake aina ya Toyota Vitz kwa ajili ya kwenda kununua umeme....

 

10 years ago

Habarileo

Makongoro Nyerere apata ajali

Makongoro Nyerere.MSAFARA wa mmoja wa watangaza nia ya nafasi ya urais, Charles Makongoro Nyerere, aliyekuwepo katika Mkoa wa Kigoma umepata ajali ambapo watu watano wamejeruhiwa.

 

5 years ago

CCM Blog

ASKARI POLISI APATA AJALI

 Askati wa Usalama barabarani (wa tatu kushoto) akizungumza na kupata maelezo kutoka kwa madereva wenye nyombo vya moto baada ya kugongana eneo la Kisutu katika makutano ya kituo cha Mabasi ya mwendokasi kilichopo eneo hilo Jijini Dar er Salaam leo Mei 11, 2020. (wa katikati) ni Dereva wa Pikipiki yenye namba za usajili MC 919 BJC, Ambaye ni Askari Polisi na wa kwanza kuli ni Dereva mwenye Gari lenye namba za Usajili T 810 DMK. japo hakuna aliyeumia  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Askari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani