Ualimu ngazi ya cheti wafutwa
SERIKALI imefuta rasmi mafunzo ya ualimu ngazi ya Cheti yaliyokuwa yakitolewa katika Vyuo vya Ualimu Daraja la A vilivyopo sehemu mbalimbali nchini. Kufuatia kufutwa kwa mafunzo ya cheti, watakaochukuliwa kwa ajili ya masomo ya ualimu kwenye vyuo vya ualimu wa diploma ni waliopata daraja la tatu na kuendelea na watakapohitimu mafunzo ya miaka miwili ya Diploma (Stashahada) ya ualimu watapangiwa kufundisha kuanzia shule za awali za serikali, msingi na sekondari.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Ualimu ngazi ya cheti usifutwe sasa
11 years ago
Michuzi21 Apr
11 years ago
Michuzi31 May
NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014 - 2015 NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NA CHILD DEVELOPMENT - 2014-2015 ADA YA MWAKA MOJA PAMOJA NA HOSTEL NI MILLIONI MOJA (1,000,000) UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU NNE NDANI YA MWAKA MMOJA. FORM ZA SHULE ZINAPATIKANA kwa maelezo zaidi wasiliana na njia ya barua pepee; rugemba@gmail.com REGEMBA CHUONI -0753 038336 DAR ES SALAAM -BOKO...
11 years ago
Michuzi27 May
NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU CHA RUNGEMBA, MAFINGA, IRINGA
1. MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA (SECONDARY) 'DIPLOMA IN SECONDARY' (DSEE) KWA MIAKA 2 Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha sita (v1) na ufaulu wa principal (1) subsidiary (1) 2. UALIMU DARAJA LA 111-A - NGAZI YA CHETI (CATCE) - KWA MIAKA 2. Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne (1V) na ufaulu wa alama 26-27 (kwa mwaka 2004-2012) au alama 32-34 (kwa mwaka2013) 3. MAFUNZO...
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Polisi wafutwa kazi Kigoma
11 years ago
Michuzi17 Jun
USHAHIDI WA SHAHIDI WA MRAMBA WAFUTWA
MAWAKILI wa utetezi wa Waziri wa Fedha wa zamani, Basil Mramba, wameondoa mahakamani ushahidi wa Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Felician Busigara, baada ya kuzua mvutano kati ya mawakili wa pande zote mbili kwamba ushahidi wa shahidi huo ulikuwa wa kitaalamu na siyo dhidi ya mashitaka yaliyopo mahakamani. Mbali na Mramba, washtakiwa wengine ni Waziri wa Zamani, Nishati na Madini, Daniel Yona na Katibu Mkuu wa Wizara ya...
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Wanajeshi wa Marekani wafutwa kazi
9 years ago
Habarileo29 Oct
Uchaguzi Z’bar wafutwa, kurudiwa
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza kufuta matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita baada ya kubainika kujitokeza kwa kasoro nyingi, zilizosababisha kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na haki kushindwa kutendeka.
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Mkutano wa Nobel A.Kusini wafutwa