Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USHAHIDI WA SHAHIDI WA MRAMBA WAFUTWA

Na Mwene Said,  wa Globu ya Jamii Mahakamani
MAWAKILI wa utetezi wa Waziri wa Fedha wa zamani, Basil Mramba, wameondoa mahakamani ushahidi wa Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Felician Busigara, baada ya kuzua mvutano kati ya mawakili wa pande  zote mbili kwamba ushahidi wa shahidi huo ulikuwa wa kitaalamu na siyo dhidi ya mashitaka yaliyopo mahakamani. Mbali na Mramba, washtakiwa wengine ni Waziri wa Zamani, Nishati na Madini, Daniel Yona na Katibu Mkuu wa Wizara ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ushahidi kesi ya Mramba wafutwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta ushahidi wa aliyekuwa Kamishna wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Felesian Msigala, uliokuwa umetolewa mahakamani hapo kwa ajili ya kumtetea aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mramba apunguza shahidi mmoja

WAZIRI wa Fedha wa zamani, Basil Mramba, anayekabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha hasara ya sh bilioni 11.7, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi wa tatu kesi ya Ponda atoa ushahidi

Shahidi watatu katika kesi inayomkabili Kiongozi wa jumuiya na taasisi za kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa ushahidi wake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro huku mawakili wa upande wa mashtaka na upande wa utetezi wakisigana kwenye kifungu cha 150 hadi 152 cha sheria ya ushahidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi atumia saa mbili kutoa ushahidi kesi ya Ponda

>Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, imeanza kusikilizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro na shahidi wa kwanza katika kesi hiyo ni aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Morogoro, Sadick Tindwa, ambaye kwa sasa amehamishiwa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kutoa ushahidi wake kwa zaidi ya saa mbili.

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Z’bar wafutwa, kurudiwa

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza kufuta matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita baada ya kubainika kujitokeza kwa kasoro nyingi, zilizosababisha kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na haki kushindwa kutendeka.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa Nobel A.Kusini wafutwa

Mkutano wa washindi wa taji la Nobel unaotarajiwa kufanyika mjini Cape Town umefutiliwa mbali

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Marekani wafutwa kazi

Wajeshi 9 wa kambi ya Kinyuklia watimuliwa kwa kudanganya katika mtihani wao

 

10 years ago

Habarileo

Ualimu ngazi ya cheti wafutwa

SERIKALI imefuta rasmi mafunzo ya ualimu ngazi ya Cheti yaliyokuwa yakitolewa katika Vyuo vya Ualimu Daraja la A vilivyopo sehemu mbalimbali nchini. Kufuatia kufutwa kwa mafunzo ya cheti, watakaochukuliwa kwa ajili ya masomo ya ualimu kwenye vyuo vya ualimu wa diploma ni waliopata daraja la tatu na kuendelea na watakapohitimu mafunzo ya miaka miwili ya Diploma (Stashahada) ya ualimu watapangiwa kufundisha kuanzia shule za awali za serikali, msingi na sekondari.

 

9 years ago

GPL

UPINZANI WAFUTWA RASMI MWANZA

Mgombea wa ubunge wa Ilemela kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Angelina Mabula. Na Mwandishi Wetu WAMEAMUA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia wananchi wa mkoa wa Mwanza kuamua kumuengua mbunge Highness Kiwia huku Ezekiel Wenje wa Chadema (pichani) hadi tunakwenda mitamboni jana, alikuwa katika wakati mgumu wa kushindwa. Staslaus Mabula. Highness alikuwa akitetea Jimbo la Ilemela huku Wenje akitetea Jimbo la Nyamagana ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani