Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uamuzi ni wako ni leo

Leo Watanzania watatumia haki yao ya kikatiba kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano, Rais wa Zanzibar, wabunge wa Bunge la Muungano, madiwani na wawakilishi kwa upande wa visiwani baada ya utawala wa Serikali ya Awamu ya Nne kuhitimisha kipindi chake cha pili cha miaka mitano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TANGA KUNANI: RC Magalula, ulipima uamuzi wako kabla?

Gumzo la wakazi wa Jiji la Tanga kwa takribani mwezi mmoja sasa ni kuhamishwa kwa kituo cha mabasi yaendayo mikoani kutoka eneo la Ngamiani na kwenda Kange nje ya jiji hilo umbali wa kilometa tano.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi maombi ya Zitto kortini leo

>Hatima ya maombi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, itajulikana leo wakati Mahakama Kuu ya Tanzania, katika Kanda ya Dar e s Salaam itakapotoa uamuzi kuhusu maombi hayo.

 

9 years ago

Mtanzania

Uamuzi mita 200 kutolewa leo

mtz4NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

JOPO la majaji watatu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo watatoa uamuzi wa mvutano mkali kuhusu kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.

Mwenyekiti wa jopo hilo, Sekieti Kihiyo, alisema hayo jana akiwa pamoja na majaji wenzake, Aloycius Mujuluzi na Lugano Mwandambo.

“Jana (juzi) tuliwaambia leo tutatoa maelekezo muhimu, kesho(leo) saa nne tutatoa uamuzi,”alisema Jaji
Kihiyo.

Majaji hao walifikia hatua ya kutoa uamuzi huo baada ya kusikiliza hoja...

 

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kesi kupinga Bunge Maalum leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba.

 

9 years ago

Mwananchi

Uamuzi gharama za kesi ya ubunge Mbagala kutolewa leo

Mahakama Kuu leo inatarajiwa kutoa uamzui wa maombi ya tathmini ya gharama za usikilizwaji wa kesi ya ubunge katika kesi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 wa Jimbo la Mbagala, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Uamuzi mgumu CCM katika Kamati Kuu leo

>Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM inakutana leo mchana mjini Dodoma chini ya mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete huku ikitarajiwa kufanya uamuzi mgumu wa mchakato wa Katiba.

 

11 years ago

GPL

UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI? -3

KAMA kuna mambo muhimu unayotakiwa kuyajua katika mapenzi ni pamoja na umuhimu wako kwa mwenzi wako. Ndugu zangu, huwezi kuwa kwenye uhusiano ambao hauna faida. Mambo yanakwenda hovyo, huthaminiwi wala kupewa kipaumbele. Katika mada hii tunaendelea kuangalia ni kwa namna gani utakuwa mwenye umuhimu kwenye uhusiano wako. Ngoja niwachekeshe kidogo; kuna wakati niliwahi kukutana na msichana mmoja ofisini akihitaji ushauri. Jambo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,utakubali mshahara wako kukatwa na kupewa mzazi wako?

Sera isio ya kawaida na ambayo imeanzishwa na kampuni moja nchini Uchina kwa wafanyikazi kutoa kiwango kidogo cha mishahara yao kwa wazazi wao imezua mjadala mkubwa

 

11 years ago

GPL

UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI?

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao  akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa zaidi katika kuonekana wa kawaida au kudharauliwa ni kuachana wakati wowote – kwa ghafla. Mara nyingi tendo la kuachana kwa wenzi wa aina hii huwa hakuna sababu kubwa sana. Jambo dogo tu linaweza kukatisha uhusiano lakini kumbe ndani kuna siri nyingine kubwa zaidi; kushuka thamani – kupoteza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani