Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uasi CHADEMA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amesema kuwa chama hicho kimenasa mkakati mzito uliolenga kuwarubuni viongozi wa wilaya wa chama hicho wafanye uasi bila...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tuache Serikali ifanye uasi?

MJADALA kuhusu uandikaji wa Katiba mpya umekuwa kama mgonjwa mahututi anayehitaji uangalizi maalumu. Mgonjwa mahututi asipoangaliwa vizuri anaweza kufa lakini akaacha madhara makubwa kwa wanaomhudumia. Tumesikia mengi katika mjadala wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mwandishi TSN atajwa kuzima uasi

SIRI ya mashujaa waliozima jaribio la kutaka kupindua Serikali ya Tanzania chini ya Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1982, imewekwa hadharani kwamba mashujaa hao walikuwa vijana wawili; mmoja dereva wa teksi na mwingine mwandishi wa habari wa gazeti la Serikali la Daily News. Daily News ni moja ya magazeti yanayochapishwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali ya TSN, mengine yakiwa HABARILEO, HABARILEO Jumapili, Sunday News na SpotiLEO.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete: Tumedhamiria kusambaratisha uasi DRC

 Rais Jakaya Kikwete amesisitiza kuwa Tanzania inayo nia ya dhati ya kukabiliana na vikundi vya uasi vinavyo vuruga amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

 

10 years ago

Vijimambo

uasi Dominic Ongwen afikishwa Hague

Ongwen Kulia akiamkuana na kamanda mkuu wa kikosi cha Afrika kinamsaka mkuu wa kundi la LRA Jopseh Kony
Kamanda mkuu wa kundi la waasi la LRA nchini Uganda Dominic Ongwen amewasili mjini Hague ambako atafunguliwa mashitaka ya uhalifu wa kivita.

Ongwen, alikuwa kamanda mwenye kuogopewa sana katika kundi la waasi la LRA na alikamatwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati mapema mwezi huu.

Uganda ilikubali kwamba muasi huyo apelekwe katika mahakama ya kimataifa ya ICC, licha ya nchi hio kuwa mkosoaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RIEK MACHAR: Kutoka Makamu Rais hadi uasi

SUDAN Kusini ni miongoni mwa nchi kadhaa ambazo zimegeuka na kuwa pasua kichwa barani Afrika kutokana na kugeuzwa kuwa uwanja wa mapambano kila uchao. Nchi hiyo imekuwa ikizifanya Jumuiya za...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani