Ubabe wa CCM umekaribia mwishoÂ
WAHENGA walisema “Ukuchapao (ukupigao) ndio ukufunzao.” Maana yake ufito unaokuchapa ndio ukufunzao; yaani unajifunza jambo baada ya mchapo huo. Ni ushauri kwa mtu anayelalamika baada ya kufikwa na jambo fulani....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Uchaguzi umekwisha, utafiti wangu umekaribia ukweli
TAFITI nyingi zimefayika juu ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Privatus Karugendo
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Ubabe ubabe: Brazil v Ujerumani
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Cheki na hii, Christmas ya Peru sio sherehe, ni kupigana ngumi mwanzo mwisho… (+Video)
Kila watu wana utamaduni wao, kama utamaduni wako ni kusherehekea kwa kukaa na familia yako nyumbani, basi kwingine sio hivyo… na kama umezoea kukutana na sherehe za marafiki na ndugu, basi Peru kuna sherehe za maadui !! Countdown ya siku kuelekea Christmas inazidi kujivuta, zimebaki kama siku tatu tu hivi kuifikia December 25 2015, siku […]
The post Cheki na hii, Christmas ya Peru sio sherehe, ni kupigana ngumi mwanzo mwisho… (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Ubabe bungeni
WAKATI kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba leo zikitarajiwa kuanza kuwasilisha ripoti za majadiliano waliyokuwa wakiyafanya katika sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu ya Katiba, mijadala yao ilitawaliwa...
10 years ago
Habarileo16 Aug
'Mahakimu acheni ubabe'
JAJI Kiongozi, Shaaban Lila amewataka mahakimu nchini kuacha kutumia ubabe na lugha za ukali wakati wanasikiliza na kutoa uamuzi katika mashauri mbalimbali mahakamani.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Unyama, ubabe wa polisi
ASKARI polisi Kituo cha Msimbazi, Wilaya ya Kipolisi Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameingia katika tuhuma za kumkamata, kumpiga na kisha kumvunja mikono yote Kulwa Kitange (40), mkazi wa Kigamboni,...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Ni ubabe uchaguzi Simba
SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusitisha uchaguzi mkuu wa Simba, Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo imeibuka na kudai kuwa shirikisho hilo halina mamlaka ya kufanya...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar28 Aug
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Vurugu, ubabe kila kona