Ubakaji kukomeshwa,DR Congo
Makamanda wa jeshi la Jamhuri ya Demokasi ya Congo,wamesaini maazimio yanayolenga kukomesha vitendo vya ubakaji.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Wachokozi kwenye mitandao kukomeshwa TZ
11 years ago
Habarileo19 Jul
Waziri ataka siasa za chuki kukomeshwa
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amewataka wananchi wilayani Busega kuelewa kuwa, siasa za chuki na uhasama kamwe hazitaweza kuwaletea maendeleo zaidi ya kuwavuruga na kukwamisha shughuli za maendeleo.
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Gaza :vita kukomeshwa kwa siku 5 zijazo.
11 years ago
Habarileo30 Jul
Rais Shein ataka udhalilishaji wa kijinsia kukomeshwa
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametaka miezi iliyobakia ya mwaka wa 2014, iwe ya kupambana na kutokomeza vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Katika utekelezaji wa agizo hilo, Dk Shein ametaka vyombo vya sheria kuchukua hatua za kisheria kwa wahusika watakaobainika kufanya matukio hayo.
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Congo DR yaitia adabu Congo Brazaville
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Congo kuchuana na DR Congo
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Kosa la ubakaji — 2
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii ya ubakaji, nilisema kwamba kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu Penal code CAP 16 R.E2002; neno kubaka lina maana pana ukilinganisha...
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Kizimbani kwa ubakaji
NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Dar es Saalam Juma Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shitaka la ubakaji.
Omary (65), alisemewa shitaka hilo jana, mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka Faustine Sylvester mbele ya Hakimu Boniphace Lihamwike.
Sylvester alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Agosti 19, mwaka huu, muda usiofahamika, katika mtaa wa Mkunguni, Kinondoni.
Mshitakiwa alikana shitaka hilo na alirudishwa rumande, baada ya kushindwa kutimiza...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Ubakaji waongezeka Ilala
KILA siku wastani wa watoto watano wananajisiwa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kaimu Katibu Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Gladnes Munuo alisema hayo jijini...