UBISHI WA 25
![](http://api.ning.com:80/files/x9KBpl7z4r-gakBXs631IYe-YMgMH9AT16wTgVqGutmuDoC4eP2U58oQSC7zPnU7aOsNlxtC1d6fVEkCJUnMd7ImjZVkckfT/25.jpg?width=650)
Mchezaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Na Shabani Mbegu EMMANUEL Okwi ndiye mmiliki wa jezi namba 25 ndani ya Simba maana aliyoiacha Yanga tayari amekabidhiwa Mliberia Kpah Sherman ambaye ataitumia kama ilivyo kwake kwenye mechi ya kirafiki ya Nani Mtani Jembe, leo. Mechi inapigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar na ubishi ni namba 25 upande wa Yanga au Simba ndiyo hatari zaidi.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Mwisho wa ubishi leo
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3WH1a0NykR53MufJcaSOINzqDfucjOsWv6Hdq-dNqBZwHwRqvfdkEMC0jIZ8yK4iZ0vd81B9WkXqR2mit6meDAJ/zari.gif?width=650)
MAMA ZARI AMALIZA UBISHI!
11 years ago
Habarileo23 Apr
JK amaliza ubishi mashine za kodi
RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza msimamo wa Serikali, kwamba mashine za elektroniki za ukusanyaji kodi (EFDs), lazima ziendelee kutumika nchini. Alisema hayo jana wakati alipozungumza kwenye uzinduzi wa Ofisi za Mamlaka ya Bandari (TRA) mjini Karatu katika Mkoa wa Arusha, na kuongeza kuwa changamoto za mashine hizo zinajadilika.
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Mashabiki wamaliza ubishi wa Ney na Diamond
NA MWANDISHI WETU
MASHABIKI jijini Arusha walimaliza ubishi uliokuwepo kati ya wasanii wa kizazi kipya, Elibariki Emanuel ‘Ney wa Mitego’ na Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ waliokuwa wakibishana stejini kupitia wimbo wao wa ‘Mapenzi pesa ama Ujuzi’.
Tukio hilo lilitokea katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jumamosi iliyopita, wakati Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea urais.
Katika shoo yao hiyo iliyochengua mashabiki, Diamond alisimamia upande wa...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Kaseba, Alibaba kumaliza ubishi leo
MABONDIA Japheth Kaseba wa Dar es Salaam na Alibaba Ramadhani wa Arusha, leo jioni watapanda ulingoni katika ukumbi wa Friends Corner, kumaliza ubishi wa nani zaidi baina yao kwa kusukuma...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/sMfIhrXOGf4/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Ziara ya mfalme wa Saudia Ufaransa yazua Ubishi
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/fo7Jm2KpkZ4/default.jpg)
Magavilla on UBISHI Episode 4 - Mwananchi/ The Composition Challenge
One of the great opportunities that we have in accelerating the fortunes of this great country is addressing, what I like to refer to as, our ‘composition’ challenge; what kind of people make up our populous, in particular our youth, in terms of skills, competencies and values.
If you are making strides in life and form part of the top echelons of society, the plight of the bottom of the food chain may not be of particular interest to you – think again!
Irrespective of its composition, the...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/roXUastOvhTPSnWyE7-f2J-OSsprF-oLxud2K7z3cyerOjyhgHqU6KoUuLKwFvygqO5VQ6MQjocNKo1grAMC-okTXmHZZ9Pp/Mangufuliz.jpg)
UCHAGUZI 2015: MAGUFULI, LOWASSA MWISHO WA UBISHI!