Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI 2015: MAGUFULI, LOWASSA MWISHO WA UBISHI!

Dk. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwandishi Wetu Hatimaye zile mbio za Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 zilizoanza Agosti 23, mwaka huu, leo zinafikia tamati ambapo wagombea wawili wenye msisimko wa aina yake, Dk. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Ngoyai Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanafunga kazi katika Majiji ya Mwanza na Dar. MAGUFULI MWANZA Baada ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Sasha anena ya moyoni: Uchaguzi Mkuu 2015 Lowassa Vs Dr. Magufuli

 Nyie watu achene kufata mkumbo. Urais haujaribiwi. Eti tuwape miaka 5 Ukawa wakichemsha hatuwachagui tena!!! Ujinga gani huu Watanzania wenzangu? Tunajaribu kiti cha Urais. Hatuna uhakika na uchaguzi wetu tunatest zali!!! ONLY IN TZ.

 Mara ooh Lowassa atadhibitiwa na viongozi mahiri wa Chadema/UKAWA!!! — nani pale unamuona anaweza kumwambia kitu Lowassa??? Mbowe? Mbatia? Lissu? Mnyika?? HAKUNA ATAEWEZA/ANAEWEZA KUMWAMBIA LOWASSA CHOCHOTE NDANI YA UKAWA. ATAFANYA ATACHOJISKIA, MSIDANGANYIKE....

 

9 years ago

Mwananchi

Mwisho wa ubishi leo

Mtoto hatumwi dukani leo wakati vigogo wawili wa soka nchini Azam na Yanga watakaposhuka kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar kusaka pointi tatu muhimu ikiwa ni mfululizo wa mechi za Kombe la Mapinduzi.

 

9 years ago

GPL

LOWASSA, MAGUFULI SILAHA ZA MWISHO

John Pombe Magufuli akiwa kwenye mkutano wa Kampeni. Mwandishi wetu WAGOMBEA wawili vinara katika uchaguzi mkuu ujao, John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Ngoyai Lowassa wa Chadema, anayewakilisha umoja wa vyama vinavyounda Ukawa, sasa A silaha zao za mwisho ikiwa ni takriban wiki tatu kabla ya tukio hilo kubwa, Ijumaa linaripoti. Duru za kisiasa kutoka kambi zote mbili zinasema, huu ni wakati wa kubadili...

 

9 years ago

GPL

LOWASSA: TUME YA UCHAGUZI INAMPE-NDELEA DK. MAGUFULI

Brighton Masallu MGOMBEA wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Ngoyai Lowassa, amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeonesha dalili za kumpendelea mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli katika matokeo ya nafasi ya urais. Mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama cha...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Edward Lowassa: Mbunge wa Monduli

>Edward Lowassa alizaliwa Agosti 26, 1953 katika Kijiji cha Ngarash, Monduli na ndiye mtoto mkubwa wa kiume kwa Mzee Ngoyai Lowassa (atafikisha miaka 62 Agosti mwaka huu). Alianza kusoma katika Shule ya Msingi Monduli kati ya mwaka 1961–1967.

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AMBURUZA LOWASSA URAIS 2015

Dk. John Pombe Magufuli Na Mwandishi Wetu HUKU mchuano wa kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao ukionekana kuwahusu zaidi Dk. John Magufuli kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa muungano wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), tathmini imeakisi matokeo yalivyo hivi sasa. Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na Timu ya Uwazi Mizengwe… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa, Magufuli watia fora 2015

Mwaka 2015 ulitawaliwa na matukio mengi ambayo yalitamba kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hasa Uchaguzi Mkuu ambao umemfanya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Rais John Magufuli kuwa miongoni mwa watu waliotajwa zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kumekucha Uchaguzi Mkuu 2015, Lowassa atikisa CCM, upinzani

Kumekucha. Pengine hilo ndilo neno linalofaa kutumika kuelezea matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeibuka mshindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani