Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ubunifu uliotukuka mkoani iringa

Kenny Mwangoka akiendesha gari hilo ambalo bodi lake limetengenezwa kwa mbao
Kenny Mwangoka akifungua mlango wa nyuma wa gari hilo akionesha umadhubuti wa bori lake
Mwanahabari huyu Oliva Motto wa Star TV hakuamini kama kilichounda bodi ya gari hilo ni mbao mpaka alipogusa na kujiridhisha
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Peter Tweve akimpongeza Mwangoka kwa ubinifu huo
Na Francis Godwin, Iringa
Amini usiamin. Bodi la gari hili aina ya Hiace lenye namba za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki

20150123_123538

MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma  kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea  ubunge katika jimbo la Iringa mjini.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa,  wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.

Msanii huyo Richard Kayombo  ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AUNGURUMA MKOANI IRINGA

Sehemu ya Wafuachi wa CHADEMA na Vyama vinge vinavyounda UKAWA wakiupokea msafara wa Mgombe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ulipokuwa ukiwasili Mafinga Mjini, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 30, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, IRINGAMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

9 years ago

Michuzi

MUFINDI YASHIKA UKWANZA MKOANI IRINGA


Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ya Mkoani Iringa imeibuka mshindi wa kwanza kimkoa na kushika nafasi za juu kikanda na kitaifa, kati ya Halmashauri tano za Mkoa wa Iringa, baada ya kufanya vizuri zaidi wakati wa mbio za mwenge wa uhuru ulipokimbishwa Mkoani Iringa mnamo mwezi Juni mwaka huu.
   
Taarifa ya kitengo cha habari na mawasiliano cha Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imevitaja baadhi ya vigezo kati ya vigezo 10 vilivyoshindanishwa, kuwa ni pamoja na miradi yenye maslahi kwa umma...

 

9 years ago

StarTV

Ibada ya kuombea uchaguzi yafanyika mkoani Iringa

Viongozi wa Juu wa Mkoa wa Iringa wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Amina Masenza wameshiriki Ibada maalum ya kuombea Taifa amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

Ibada hiyo maalum imefanyika Jumamosi hii mjini Iringa katika Kanisa Kuu la Sloam njia ya Kusini na kuhudhuriwa na mamia ya waumini wa Kanisa hilo.

Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa walinyanyua bendera na ramani ya Taifa wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

Polisi Feki watiwa mbaroni mkoani Iringa


Kamanda wa  polisi mkoa wa Iringa,Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari  feki ambao  walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro ,kulia ni Bazil Nyakunga ambae ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bossi wake Godlack Mbehale. Askari polisi Mkoani Iringa (kushoto) akiwa na maaskari  feki katika ofisi ya kamanda wa polisi  leo 

Na Francis Godwin,Iringa
MATAPELI washindwa  kubaki njia  kuu sasa waanza  michepuko  mipya ni baada ya jeshi la  polisi mkoa  wa...

 

11 years ago

Michuzi

mwaka wa Kilimo wa Afrika wazinduliwa mkoani Iringa

Mkuu wa Mkoa wa Iringa,Mh.Dkt.Christine Ishengoma akipiga makofi mara baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa ghala la Mazao,katika kijiji cha Kaning`ombe,wilayani Iringa mkoani humo mwishoni mwa wiki,wakati wa uzinduzi wa mwaka wa Kilimo wa Afrika. Sehemu ya Wadau mbalimbali wa kilimo walioshiriki uzinduzi huo wa Mwaka wa Kilimo wa Afrika mkoani  Iringa. Mwakilishi wa shirika la Afrika One kutoka Afrika Kusini,Mercy Erhiawarien akitoa ufafanuzi mbele ya wadau wa kilimo (hawapo...

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA ESCROW LAIMALIZA CCM MKOANI IRINGA

Katibu wa chama cha mapinduzi mkoani iringa Hassan Mtenga (wa pili kutoka kushoto) akiongoza makatibu wa wilaya kuongea na waandishi wa habari mkoani Iringa (hawapo pichani). Katibu wa chama cha mapinduzi Hassan Mtenga amekiri kuhusu sakata la fedha za tegeta ESCROW na IPTL kuwa limechangia kudondoka katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni. Akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa suala hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani