Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Uchafu ulisababisha kivuko kuzima’

Uchafu unaotupwa baharini hasa wa mifuko ya plastiki ndiyo uliosababisha kuzima ghafla kwa injini ya Kivuko cha Mv Magogoni katikati ya wiki hii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA kuzima analojia Tabora

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo inatarajia kuzima mitambo ya kurusha matangazo ya televisheni ya mfumo wa utangazaji wa analojia mkoani hapa. Akizungumza kwenye warsha iliyohusisha wadau katika Hoteli ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Libya yaomba msaada kuzima moto

Serikali ya Libya inaomba msaada wa kimataifa ilikuzima moto mkubwa unaoendelea kuchoma hifadhi ya mafuta mjini Tripoli.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya yaanzisha operesheni kuzima Alshabab

Maafisa wa Usalama wa Kenya wameanzisha opereshni kali katika msitu wa Boni ulioko Lamu kuvunja kambi ya washirika wa Al shabaab

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Sisi aapa kuzima ugaidi Misri

Rais Abdul Fattah al Sisi amesema ipo haja kurekebisha sheria kukabiliana na ugaidi, baada ya mwendesha mashtaka kuuawa.

 

10 years ago

Mtanzania

Kashfa ya Escrow, Jk kuzima au kuchochea moto

 

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

FREDY AZZAH na SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
IKIWA leo ni siku ya 23, tangu Novemba 29,mwaka huu Bunge lilipopitisha maazimio nane juu ya kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 306 katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Rais Jakaya Kikwete anatazamiwa kuuzima ama kuchochea moto wa sakata hilo atakapozungumza na wazee wa Jiji la Dar es Saalam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Rais Kikwete leo atazungumza na wazee hao katika...

 

10 years ago

Habarileo

Mwandishi TSN atajwa kuzima uasi

SIRI ya mashujaa waliozima jaribio la kutaka kupindua Serikali ya Tanzania chini ya Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1982, imewekwa hadharani kwamba mashujaa hao walikuwa vijana wawili; mmoja dereva wa teksi na mwingine mwandishi wa habari wa gazeti la Serikali la Daily News. Daily News ni moja ya magazeti yanayochapishwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali ya TSN, mengine yakiwa HABARILEO, HABARILEO Jumapili, Sunday News na SpotiLEO.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA kuzima analojia Singida, Tabora

MENEJA wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Kati Dodoma, Maria Sasabo, amesema kuanzia Machi mwaka huu watazima mitambo ya mawasiliano ya analojia katika mikoa ya Singida na Tabora....

 

10 years ago

Mwananchi

AU, mataifa yasaidie kuzima moto Burundi

Tumepokea kwa masikitiko habari kwamba Serikali ya Burundi nusura ipinduliwe na nchi inawaka moto kwa risasi. Waliosababisha hali hiyo ni baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Burundi walioamua kuchafua hali ya hewa ya nchi hiyo kipindi ambacho uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliamua kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani