Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Guinea ni leo

Kiongozi wa chama cha upinzani huko Guinea, Cellou Diallo, amewahimiza wafuasi wake kujitokeza kwa wingi kupiga kura leo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

EU:Uchaguzi wa Guinea ulikuwa wa haki

Wachunguzi wa muungano wa Ulaya wanasema kuwa uchaguzi wa urais nchini Guinea uliofanyika siku ya jumapili ulikuwa wa haki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani wapinga matokeo ya uchaguzi Guinea

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Guinea amejiondoa katika uchaguzi uliofanyika nchini humo akisema kuwa kulikuwa na udanganyifu mkubwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Guinea Bissau yafanya Uchaguzi wa pili

Taifa la Magharibi mwa afrika ,Guinea Bissau linafanya awamu ya pili ya uchaguzi wa urais hii leo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani wakataa matokeo ya uchaguzi Guinea

Chama kikuu cha upinzani nchini Guinea kimesema hakitakubali matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Jumapili.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Guinea:Alpha Conde aongoza

Matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais nchini Guinea yanaonyesha kuwa rais wa sasa Alpha Conde ameshinda kura za kutosha kuzuia kuwepo duru ya pi

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Guinea yasema ugonjwa wa corona hautazuia uchaguzi

Serikali ya Guinea-Conakry imesisitiza kufanyika kwa uchaguzi wa wabunge na kura ya maoni ya katiba pamoja na kuwa wapinzani wanataka uchaguzi usitishwe kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.

Aidha wapinzani wanautazama uchaguzi huo ambao utafanyika kesho Jumapili kuwa mbinu za rais Alpha Condé ambaye anataka kubadilisha katiba ili aweze kuwania muhula wa tatu kinyume cha sheria ya sasa.

Ingawa katiba mpya ambayo inatazamiwa kuidhinishwa katika kura ya maoni ina kipengee cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani