Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Mkuu, CCM sasa rasmi

>Mbio za kuwania urais na nafasi nyingine kupitia CCM zimetangazwa rasmi baada ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kutoa ratiba ikibainisha kuwa mgombea urais chama hicho tawala atajulikana Julai 12, siku mbili baada ya yule wa Zanzibar kufahamika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA SASA AINGIA MANYARA,WANANCHI WAFURIKA KUIUNGA MKONO CCM UCHAGUZI MKUU 2015

Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...

 

9 years ago

GPL

LIPUMBA SASA RASMI CCM

Richard Manyota na Oscar Ndauka SIKU chache baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Haruna Lipumba kujiuzulu wadhifa wake huo, sasa mwanasiasa huyo mtaalamu wa mambo ya uchumi ametajwa waziwazi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi limedokezwa....Soma zaidi====>http://bit.ly/1UH6HT2

 

9 years ago

GPL

PATA BREAKING NEWS ZA UCHAGUZI MKUU SASA!

Kuwa wa kwanza kupata Breaking News za Uchaguzi Mkuu na Kampeni za wagombea Urais, Ubunge na Madiwani kupitia Global Breaking News! Kujisajili tuma GLOBAL kwenda 15778. Huduma hii ni kwa wateja wa Vodacom pekee!

 

10 years ago

Michuzi

NEC yatoa Ratiba Rasmi ya Uchaguzi Mkuu.

Na Beatrice Lyimo-MAELEZOTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba rasmi kwa vyama vya Siasa na wananchi wote itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Serikali  unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo  Jaji wa Rufaa (Mst.) Damian Lubuva imesema kuwa kwa Mamlaka waliyopewa kwa mujibu wa vifungu vya 35B(1), (3) (a), 37 (1) (a) na 46 (1) vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi,  Sura ya 343, shughuli za uchaguzi zinatarajia kuanza hivi...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema yaanza mbio Uchaguzi mkuu rasmi.

Yawataka wanachama kujitokeza kuchukua fomu, Wagombea urais kuchujwa Ukawa.Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa ratiba kwa wanachama wake wanaotaka kugombea udiwani, ubunge na urais kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015 kujitokeza kuchukua fomu.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, alitangaza ratiba hiyo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam kuhusiana na maazimio yaliyofikiwa na Kamati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).

2

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Taarifa Rasmi Kutoka UKAWA Kuhusu Uchaguzi Mkuu Unaoendelea Leo- 25/10/2015

1. Hali ya vitisho vya jeshi la polisi na kamata kamata iliyoanza jana usiku hadi leo asubuhi. Wawaache wananchi watumie haki yao ya kikatiba kumchagua kiongozi wanayemtaka. 2. Suala la watu wenye kadi lakini majina yao hayapo, ambapo kisheria inatakiwa msimamizi awape fomu namba 19 kisha waijaze na kupiga kura. Tumewataka wananchi kutokuondoka vituoni hadi wapate haki hiyo ya kujaza fomu

 

5 years ago

Michuzi

TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUJITOSA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020

 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu  Na Said Mwishehe, Michuzi TV


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi Tundu Lissu ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka 2020.

Lissu ambaye amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kwa nyakati tofauti amekuwa akionesha nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Habarileo

Turufu ya CCM Uchaguzi Mkuu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadili jambo na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi kwenye viwanja vya Bunge jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, jana alihitimisha mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi yake ya Sh trilioni 5.7 ambayo ilipitishwa na Bunge, huku akifafanua hoja zitakazotumiwa na CCM kuomba kura za wananchi katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani