Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi ni leo Ugiriki

Watu nchini Ugiriki wanaelekea vituo vya kupigia kura kwenye uchaguzi mkuu ambao ni wa tano ndani ya kipindi cha miaka sita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Msumbiji ni leo

Nchini Msumbiji kuna fanyika uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na wawakilishi wa majimbo, ambao ni wa kwanza wa kidemokrasia tangu nchi hiyo kujipatia uhuru wake toka kwa Wareno.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Guinea ni leo

Kiongozi wa chama cha upinzani huko Guinea, Cellou Diallo, amewahimiza wafuasi wake kujitokeza kwa wingi kupiga kura leo

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Zambia kufanyika leo

Hatimaye wananchi wa Zambia wanapiga kura kuchagua Rais wa nchi hiyo, kufuatia kifo cha Rais wa Michael Sata Oktoba mwaka jana.

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI MSUMBIJI KUFANYIKA LEO

Mabango ya wagombea mbalimbali wanaowania nafasi za uongozi nchini Msumbiji. Msumbiji leo inafanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa kidemokrasia wa rais, wabunge na wawakilishi wa majimbo tangu nchi hiyo kujipatia uhuru wake toka kwa Wareno. Zaidi ya watu milioni 10 wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa leo, ambao unaonekana kuwa wa kwanza kidemokrasia tangu nchi hiyo ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Wareno mwaka 1975....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani